Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,415
- 4,869
don urassa inaonekana umenimaidi sana ,usijali lakini magreat thinkers saa zingine they think differ.best of luck keep waiting defence force recruitment
Heshima mbele wana'JF naulizia vipi kuhusu nafasi za kujiunga jwtz &jkt kwa professionals. Kwa karibu mwaka mmoja sasa nimekuwa nikifuatilia humu JF na information zilionyesha kwamba wangetoa mwezi february.. And as time goes on, imekuwa kama danadana kwa takribani mwaka na miezi sasa. Hivyo mwenye valid info azitoe tunateseka huku mtaani. GOD BLESS YOU !
Pole ndugu hizo nafasi zimeshatoka na watu wameshaenda cardet tayari hivi sasa wana three weeks.
watu wanapima afya zao teyari kwa ajili ya kuanza course nyie mnapigizana kelele kubishania nafasi, kama hauamini nenda Upanga kaulizie!! nchi ishatolewa posa kitambo.
Wakubwa punguzeni mizuka. ngoma bado inafanyiwa kazi, subirini kwanza hawa polisi waondoke then mpango wa bakabaka unafuata. Ila nafasi kweli ni ngumu na taaluma zitakazo hitajika mwaka huu hapo ndio mtihani. Alafu wakubwa waambieni hao wadogo zenu wasifikiri jeshini ni kama CRDB,NMB au MABENKI MENGINE. Wao kutwa kutuma CV zao makao makuu ya jeshi. Huku hatuangalii CV mapema hivyo kama sehemu nyingine. Huku wote mtaitwa then Afya ndio kigezo cha kwanza then mengine yanafuata baadae.