sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,021
- 5,253
Leo tarehe 7 march 2012 kwenye gazeti la mtanzania,zimetangazwa nafasi 150 za uhakimu wa mahakama ya mwanzo..sikubahatika kununua gazeti hili as yamegombaniwa sana yakaisha mapema,so anuani ya kuombea sijaikariri ila najua ni kwa msajili wa mahakama ya rufaa, na vigezo ni degree ya sheria.. deadline pia sikuicheki frsh ila ni info tu so mnaweza hangaika wenyewe kupata full details,hata mimi nahangaika kuzitafuta..aliyenazo au atakaepata atuwekee
humu.
Ni hayo tu,majobless tuendeleeni kujaribu bila kuchoka
humu.
Ni hayo tu,majobless tuendeleeni kujaribu bila kuchoka