Naendesha gari ghafla..

Aliolewa na kuacha kishaacha,
Hakuolewa bhanaa, kama aliolewa aje hapa athibitishe. Ile series yote tangu anaandika kutafuta mchumba, mara mchumba hataki kumpa tamu, mara atualike harusi, mara mume anamkojoza vizuri, mara shahawa zinamuunguza alikuwa anacheza na akili za watu. Unacheza na moniccca wewe?
 
Kwa hiyo anatuzuga sioee!!
Lkn hapo juu kasema kaacha, nkajua alishaolewa na kuacha na masifa yote yale alikua akimmwagia jamaa.
 
Yaani huyu monicca natamani nikutane nae uso kwa uso, maana stori zake, duh!!
 
Hbr wanajf hasa wa jukwaa hili!

Niende kwenye mada husika, leo asubuhi nikiwa naendesha gari nikitokea mlima city kuelekea sinza madukani kupitia makaburini, nilipofika maeneo ya makaburini ghafla nikamuona aliyekuwa mume wangu...kilichoendelea hapo ntawajuza kesho maana najisikia kuchoka.
Moniccca nakupendaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom