Naenda kununua gari...ushauri please!

muwaha

JF-Expert Member
May 13, 2009
740
148
Wakuu habari ya jumamosi? nimedunduliza fedha kwa kujibana sana, na zimefika milioni 20!!! kesho napanda basi naenda "Darisalama" kununua gari. Naomba ushauri yard gani inauza gari nzuri, mie napenda niendeshe GX 110. Pia hotel gani itanifaa kupunga upepo wa baharini na maeneo ya kujinafasi ni yapi???baada ya kununua gari nitamtafuta babu Asprin nimjulie hali... nawashukuru kwa ushauri mtakaonipa.
 
Aroooo nina ri ESCUDO langu brack hivi, ni gumu ire kishenzi.. kwanini nisikuuzie wewe? Changamkia preese! pia ni ri four weeri.
 
mu-PM yule aliyewahi kuwa IGP wakati wa mkapa atakuwa nayo mengi ya kukuuzia maana naskia ni mtu wa mishemishe mpaka siku-izi
 
Mkuu Ndukidi, escudo ipo juu juu...shemeji yako mjamzito atashindwa kupanda! asante sana. Karibu Namanyele...
 
Asante Mtego wa Noti, nataka kuendesha gari ambayo haijawahi kutumika bongo...karibu Namanyele
 
Mkuu Ndukidi, escudo ipo juu juu...shemeji yako mjamzito atashindwa kupanda! asante sana. Karibu Namanyele...
aaah!kama yuko hivyo shemeji basi inayo faa hapo ni bajaji!!!hukuziona walizileta bungeni za kubebea waja wazito!!!!
 
ok,go for it!!ila dar ni 2300!!kama namna gani vipi chukua ya kuazia kabisa huko huko!!
Mkuu asante, mafuta siyo tatizo... hiyo fedha mbona chenji itabaki tu, kama vipi tuonane maeneo ya kiti moto baada ya kuweka full tank nitabaki kuosha macho bongo.
 
aaah!kama yuko hivyo shemeji basi inayo faa hapo ni bajaji!!!hukuziona walizileta bungeni za kubebea waja wazito!!!!
Ha ha ha haaaaa...shemejio amepanda mabasi kwa muda mrefu sana, wacha nasi tuonje 'slice of paradise" japo kwa muda...
 
Mkuu asante, mafuta siyo tatizo... hiyo fedha mbona chenji itabaki tu, kama vipi tuonane maeneo ya kiti moto baada ya kuweka full tank nitabaki kuosha macho bongo.

gud!!!we si ndo mtu bwana,shemeji wala usije naye mi nitakupitisha hongera na meeda uchague kitu roho napenda!!!
 
Mkuu Zamaulid, shemeji yako ndo atakuwa na mfuko wa fedha za kununua gari! baada ya kununua atabaki hotelini...maeneo yote tutazunguka.
 
kwa staili hiyo umenena!!na akionekana kushituka kidogo tutampitisha saloon tumuache hapo sisi tuendelee na safari za wanaume!!
 
Hapo kwenye red...nafikiri chenji itaniwezesha pia kupata ipad 3 mpya!! au unasemaje mkuu...
 
Tatu zote za nini mkuu!!wewe na shemeji mnahitaji moja tu ambayo utaitumia wewe,shemeji kama namna gani vipi tutamchukulia G-TIDE!!mkuu safari zinahitaji hela ya kutosha tukinunua nunua ipad hautafurahia kuwa meeda!!!
 
Back
Top Bottom