Naenda jimboni... Nitawamiss sana

NL kafanya jambo la mbolea sana!!! kinachotuponza watz ni uvivu kujishughulisha tujua ni nani tunaye mchagua atuwakilishe!!! If we could only dig a little deeper mbona tutaona mengi ya kutisha!!!!

tatizo watu kama hawa wanakimbilia huko ma village bht, no net wala lolote! sasa akienda mtu kama huyu na tai na sera zake za hapa na pale, amewanasa....umackini kitu kibaya sana.
 
Mgombea Ubunge Upo Wapi? Kuna hoja za haja hapa kabla hata hujaenda huko jimboni. Najua unaisoma!
 
Next Level, really ur Next Level, UNATISHA!
Mambo ya JF hayo mkuu!

Je hii ndiyo type ya Wabunge wetu? Maana yasemekana ma-CD wa Dar na Moro huwa wanahamia Dom wakati wa vikao vya Bunge...
Yeeeh men....we need to stop this, if we can!

Vp Mbunge mtarajiwa, una la kusema?
Nasikia kapata H1N1 ghafla...... ha!ha!ha!haaaa.

Ila kwa nchi hii (miTanzania jinsi tulivyo) usishangae hiyo CV ya ngono ya Mgombea Ubunge ikawa ni sifa positive kwa wapiga kura, au at least si kitu kibaya
.

.....Yeeeaah tulivyorogwa, usikute hii kawa sifa tosha......arrrgrrrr...!

Matokeo yake kichwa kidogo ndicho kinaongoza katika kutoa maamuzi...!
Loud pleeeeeeeeeease!
 
Wanagombea katika ticket ya CCM wanauakika wa kushinda sabab wanaiba kura. ama kweli niwasafi, mbona wanakataa kutoa NEC chini ya rais ili iwe independent?
Siku moja mtatokatu madarakan.
 
mtu wa ughibuni unayafamu ya nyumbani vizuri? waache wafu wawazike wafu wao, mkuu wewe uendelee na ughaibu tu
 
Huyu si ndo alikuwa anasema sisi watu wa vijiweni huyu?
Unakumbuka eeeeh? huyu wakulinganisha na wapwa kweli? please KIMATIRE mchango wako hapa!

NL kafanya jambo la mbolea sana!!! kinachotuponza watz ni uvivu kujishughulisha tujua ni nani tunaye mchagua atuwakilishe!!! If we could only dig a little deeper mbona tutaona mengi ya kutisha!!!!

You can say it again and again mammy!
 
here we go......huyu ndiye mbunge wenu mtarajiwa.........! Lols kura yangu hata kwa mtutu hapati huyu........!

mgombea ubunge
user_online.gif

mgombea ubunge has no status.
jf senior expert member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
join date: Fri nov 2009
posts: 384
thanks: 20
thanked 148 times in 96 posts
rep power: 21
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif



icon1.gif
re: Mara ya kwanza!
hakuna lessoni yoyote hapo,

huo ni mtiririko kama wa proposal ya kuombea fedha kwa wafadhiri, lakini hali halisi ni tofauti, wengine hushindwa hata kuingiza siku ya kwanza kwa hofu, ushahidi upo wa kutosha kuwa wengine hata joto la mwili hupanda, na hata kifaa kinaweza kulegea kazi ikashindikana, baadhi ya bikira hutoa harufu ambayo wengine huita mbaya wengine huita manukato ya bikira kwa sababu ya hofu, hivyo ni mchakato tata kidogo unaohusisha saikolojia ya mtu.

ukitumia kondom ndio kabisaaaa unakimbiza hisia! ukikaribisha mawazo yanayohusu ukimwi umeua kifaaa moja kwa moja, labda ujaribu tena siku nyingine............

mimi nimewahi kukamua mtu nne siku ya kwanza tu na kati ya hizo nne, moja ilikuwa bikira, nyingine tatu used, kuna kama nane hivi nimekamua siku ya pili tu ya kukutana nazo, kati ya hizo mbili bikira na sita used, ......etc,bikira iliyonisumbua kufungua maishani mwangu ilichukua wiki tatu, na moja ilihama kabla sijaifungua hivyo nikawa nimechemsha!!!!!!!!! bikira ya mwisho nimefungua miezi 14 iliyopita, lakini sasa nafikiria kustaafu kunyemelea bikira kwani sometimes ni risk


sorry mbunge.....unatia kinyaaa kwa kweli! One day unakamua nane? Jamani....wewe hata king mswati hakufikii....then unataka ubunge?

Tena bado ile ya kumjengea nyumba kimada wako kule kisukuru....waifu wako haijui hiyo.......! Ukipewa madaraka, lazima lazima uyafuje wewe.......! Please id yako na useme wapi unataka kugombea tuzuia hii disaster!

jamani jamani jamani mbunge wetu kumbe ni mwaribifu kiasi hiki haki anaenda kutuharibia watoto wetu kwenye kampeni zake
 
jamani jamani jamani mbunge wetu kumbe ni mwaribifu kiasi hiki haki anaenda kutuharibia watoto wetu kwenye kampeni zake

FL, pale mwanzoni nilikuona ulitaka kuingia mkenge na weye.......ha!ha!haaaa...nkakungalia tu.....meona ss? mhishimiwa huyo?
 
FL, pale mwanzoni nilikuona ulitaka kuingia mkenge na weye.......ha!ha!haaaa...nkakungalia tu.....meona ss? mhishimiwa huyo?

Kiongozi naona itabidi tutie timu kwenye hili jukwaa kwa muda kuweka watu sawa. Inaelekea watu wanadanganyana sana humu!
 
WAPWAAAZ wanatarajia kulivamia jukwaa la ma-politiksi na kuwaweka watu sawa ZENI WATARUDI UWANJA WAO WA NYUMBANI -OLD-TRAFFORD
 
Back
Top Bottom