Naenda bao moja tu, halafu sirudii, nifanyaje?

Nazani wazima memba wenzanguni.

Nikikutana na Malkia Elizabeth kunako sita kwa sita huwa naenda bao moja tu! Sirudii tena nini tatizo? na nifanyeje ili niendege bao tatu au kumi nakuendelea nitakapokuwa na Mamito wangu?

Ushauri tafadhali!!!


Bao moja sio tatizo! Tatizo ni muda unaotumia kupiga hilo bao.waweza piga bao moja kwa masaa manne huyo jamaa yako atakojoa hata mara 10 nicheki pm nikuelekeze dawa
 
Si bure sister nadhan tumuite mshana Jr aje aramlike kwanin Carbon nguvu zimemuisha,naona harufu ya mtu kushikwa uchawi , Carbon mambo yamekufika happpppaaaa!!!
 
kupungukiwa nguvu za kiume kunaweza kusababishwa na mambo mbali mbali yawezekana vyakula unavyokula havinavirutubisho vya kutosha au unafanya kazi zinazokupa stress sana na mambo mengi mengineyo
nakushauri tumia KINGS ni herbal na inamchanganyiko wa virutubisho vingi kama ginsenoside ganodema cordcepts
kings itakusaidia mzunguko wa damu kuwa mzuri na kukuma nguvu mwilini na itarejesha kabisa uweza wako wa bao hata nne
kwa maelezo zaidi tembelea
www.taslytanzania.blogspot.com
whatsapp: +255758768855
Call: +255716768855
 
Kula dona kila siku, fanya mazoez, usikamie sana wakati wa gemu, kula karanga na asali kila siku kijiko kimoja tu asali ya nyuki wadogo. Usinywe pombe sana. Kula mboga za majani kwa wingi na samaki mchuzi wake samaki wowote tu
 
Kula dona kila siku, fanya mazoez, usikamie sana wakati wa gemu, kula karanga na asali kila siku kijiko kimoja tu asali ya nyuki wadogo. Usinywe pombe sana. Kula mboga za majani kwa wingi na samaki mchuzi wake samaki wowote tu
Nimekuelewa mkuu tutaendelea kuwA Pamoja.
 
Pole sana mkuu.Mabao hayahusiani kabisa na mapenzi ya kweli watu ndo tumekariri vibaya.Mwanamke akiamua kukupenda hata kama una nusu bao haijalishi.Cha msingi mjali kwa vitendo labda kama unatoka na wasichana tofaut tofaut.Ila kama ni mmoja mpende na umjali wala hiyo sio issue ya kukupa stress.Jiamini tuu labda baadae yataongezeka ila sio suala la kukupa stress.


Aisee we jamaa sijui umewaza nini.....yaani uwe na mwamke hushindwe kupiga mzigo unategemea nini kitafata....hujiulizi kwann vijana nowdayz wanatumia mitishamba na supu ya pweza kwa wingi?....Dah mapenzi ni pesa na kujua kutumia rungu....jidanganye na maua na maneno matamu utawajua wakata mkaa wakimkalia kifuani malikia wako...
 
Fanya mazoezi kwa sana khasa ya kukimbia kula vyakula vya asili chips kiepe ila isikauke sana tupa kule kisha concentrate penye game utakuwa sawa ni ukweli dhahiri shahiri bao moja(dally kimoko)sio mwake nakuaminia ndugu yangu fata ushauri huo mbona utavuka.
 
Tatizo ni bao moja au kumridhisha mwenza wako na wewe kuridhika pia?

Yajue maeneo hatarishi ya mwenza wako kisha jifunze kuzuia ule mlipuko wa volcano huku ukiyatumia vizuri hayo maeneo mpaka pale utakapo ona mwenzio kafika kileleni pangalau mara tatu.

Wenzio huwa tunaamua muda wa kufunga hilo moja baada ya kuona timu pinzani ipo hoi kwa chenga,tobo na kanzu.
Mkuu ebu tufundishe namna ya kubana na kufunga muda unaotaka maana wengne hutuwia ngum yaan tunapiga free kick bila kuweka gamban doh nasubr elim mkuu
 
ePOLE MKUU HILO NI TATIZO MIONGONI MWA MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME...WASILIANA NA HUYU JAMAAA AKUPATIE DAWA ITAKAYO MALIZA TATIZO

Facebook page: Afya ya uzazi na ushauri
Blog: khalid1710.wordpress.com/posts
call/sms/whatsapp +255(0)714 206 306
 
Back
Top Bottom