Naenda bao moja tu, halafu sirudii, nifanyaje?

Tatizo ni bao moja au kumridhisha mwenza wako na wewe kuridhika pia?

Yajue maeneo hatarishi ya mwenza wako kisha jifunze kuzuia ule mlipuko wa volcano huku ukiyatumia vizuri hayo maeneo mpaka pale utakapo ona mwenzio kafika kileleni pangalau mara tatu.

Wenzio huwa tunaamua muda wa kufunga hilo moja baada ya kuona timu pinzani ipo hoi kwa chenga,tobo na kanzu.
 
Hhahahahaa lakini si umeona mwenyewe majibu yake mkuu?
Mimi nilikuwa sijajua kama jamaa ana stress namna hii.

msamehe bure si unajua kwa one minute man sio mchezo yaan akipanda kama unachafya kabla hata hujapiga mwenzio kamaliza ...

mbaya zaid yy ndo hoi halafu anamuona wife bado yuko hoooot.. anajinyonganyonga kitandan lazima apate stress..
 
Kuna tuzo ya mfungaji bora wa msimu??
Ukipiga unaridhika?
ukipiga anaridhika?
unapiga lingine baada ya muda gani.. kama ni baada ya siku mbili una tatizo, kama ni jionni mpk asbui bas uko poa
 
Pole sana mkuu.Mabao hayahusiani kabisa na mapenzi ya kweli watu ndo tumekariri vibaya.Mwanamke akiamua kukupenda hata kama una nusu bao haijalishi.Cha msingi mjali kwa vitendo labda kama unatoka na wasichana tofaut tofaut.Ila kama ni mmoja mpende na umjali wala hiyo sio issue ya kukupa stress.Jiamini tuu labda baadae yataongezeka ila sio suala la kukupa stress.
acha kupotosha wewe idadi ya mabao kwa mwanaume min 3 ndio unaweza kuwa comfortable bao moja tuwaachie wazee wa miaka 70 huko ila kwa kijana bao moja ni tatizo
 
Bao moja inasizi kabsa au tena inasimama? Maana bao moja si upungufu wa nguvu za kiume bali kumbuka
 
M
Nazani wazima memba wenzanguni.

Nikikutana na Malkia Elizabeth kunako sita kwa sita huwa naenda bao moja tu! Sirudii tena nini tatizo? na nifanyeje ili niendege bao tatu au kumi nakuendelea nitakapokuwa na Mamito wangu?

Ushauri tafadhali!!!
mtafute mzizimkavu mkuu umweleze tatizo lako
 
Nazani wazima memba wenzanguni.

Nikikutana na Malkia Elizabeth kunako sita kwa sita huwa naenda bao moja tu! Sirudii tena nini tatizo? na nifanyeje ili niendege bao tatu au kumi nakuendelea nitakapokuwa na Mamito wangu?

Ushauri tafadhali!!!
Acha kula chips nakushauri ule ugali wa dona na samaki hafu fanya sana mazoezi!
 
Acha kula chips nakushauri ule ugali wa dona na samaki hafu fanya sana mazoezi!
Hapo kwenye mazoezi ni sawa ila Mkuu suala la chipsi mimi silikubali kwa 100%, kwanini!?
Kinachotakiwa pale ni kula vizuri tuu, kula milo yote 3 vizuri kwa siku kisha na ukaridhika.
Ndani ya Game, achana kabisa na stress, zaidi ya sana ni kujiamini.
Masuala ya sijui ya chipsi, sijui mayai, sijui kuku wa kisasa, mimi hata siliamini sana.
Ukila chispi na kuku na mayai kila siku harafu ukawa unashiba vema na kuridhika basi hakuna tatizo endapo pia una pumzi nzuri tu ya ziada.
 
Effect ya chips kukupa nguvu ya kufanya mapenzi nikubwa sana vujana wengi wanaokula vyepe hawana nguvu
 
Effect ya chips kukupa nguvu ya kufanya mapenzi nikubwa sana vujana wengi wanaokula vyepe hawana nguvu
Kwa bahati mbaya siku hizi sili chipsi, ila ingekuwa kipindi kile nikwambia unipe walau binti mmoja kisha aje akupe majibu. Kwa upande wa kula ni mtu awe anakula vizuri tuu. Kwani huyo anayekula chipsi ina maana anakula kuanzia asubuhi mpaka usiku!?
 
Back
Top Bottom