Naenda bao moja tu, halafu sirudii, nifanyaje?

Kama unafeli kwenda zaid ya bao moja basi atleast hilo bao moja uwe unakaa mda mrefu....bao linaanzia kwenye mind na likiwa linakuja utaanza kulisense kwenye mind kabla halijawa physical....jifunze kulicontrol kwenye mind, ukihisi linaanza kuja unalibrake kwa kuwazia kitu kingine kabisa ( kama una mkopo wa benki unaokusumbua hapo ndo sehemu sahihi ya kuwazia makato).....mkuu ukilifanyia hili kaz naomba ulete mrejesho
Ukiwazia mkopo kitu ndio inanywea kabisa. Kuna mawazo mengine sio ya kuyaingiza uwanjani
 
Nazani wazima memba wenzanguni.
Nikikutana na Malkia Elizabeth kunako sita kwa sita huwa naenda bao moja tu! Sirudii tena nini tatizo? na nifanyeje ili niendege bao tatu au kumi nakuendelea nitakapokuwa na Mamito wangu?
Ushauri taphazali!!!
One is love, two is competition, three is rapping, four is manslaughter. choose which one is good for you. Nani alikwambia mke maana ya mpenzi wa kweli na mke anataka zaidi ya moja? Muda wa kuongea baada ya hapo uko wapi, mipango ya next week ipo wapi, hali ya watoto iko wapi? kumbukla mambo mengi ya siri au ambayo hutaki watoto na dada asikie ni chumbani hivyo kitanda si kazi moja bali ni cabinet meeting room.

Nasubiri mashambulizi.
 
HUU UZI MBONA KINA DADA HAWATOI YA MOYONI AU NA NYIE MNATAKA MABAO MEEEEEEENGI???
 
Nazani wazima memba wenzanguni.
Nikikutana na Malkia Elizabeth kunako sita kwa sita huwa naenda bao moja tu! Sirudii tena nini tatizo? na nifanyeje ili niendege bao tatu au kumi nakuendelea nitakapokuwa na Mamito wangu?
Ushauri taphazali!!!
Mwambie mpenzi wako akufanyie yafuatayo mosi tambua kuwa kuna hisia Kali sana kati ya shimo taka na makende mwambie mwenzako awe anapagusa ukimaliza round ya kwanza pili kuna mstari unao anzia shimo LA taka hadi kwenye kichwa cha uume mwambie awembunifu awe anaugusa kuanzia kichwani hadi unapoishia utaamka tu na kuendelea labda uwe hanithi
 
Hahahahahaha SHIMO TAKA NA MAKENDE,
Mstari wa mwisho kbs ndio umezidi kunivunja mbavu.
 
Jamani narudia.Mabao hayahusiani na mapenzi tuache kukariri.Mimi nina karama ya kuwashauri watu katika mahusiano .Na nimewashauri wengi sana sometime huwa najishangaa .Kiasili wanawake tulitakiwa kulala na mwanaume mmoja tuu ili hata tusijue size ya mwingine ikoje na idadi ya mabao sijui kitu gani, utandawazi umetuharibu sana.Mwanamke akiamua kukupenda atakustahi hata kama hauna bao kabisa.Watu kibao wameolewa na wanaume wana mapungufu makubwa kuliko hata habari ya mabao.Cha msingi ni kumuomba Mungu akupe ubavu wako.Wanawake tumeumbwa kuaccept love.Maana yake ni kwamba mwanaume akishakupenda ukimkubali nakwambia hata kama ana mapungufu gani haijalishi utamstahi.Kinyume chake siku hizi hadi sisi tunweka vigezo kabisa jamani ndo maana tunaumizwa.Nasimamia ukweli kwamba mabao hayahusiani na mapenzi kwa sababu mapenzi sio ngono peke yake.
 
Nazani wazima memba wenzanguni.
Nikikutana na Malkia Elizabeth kunako sita kwa sita huwa naenda bao moja tu! Sirudii tena nini tatizo? na nifanyeje ili niendege bao tatu au kumi nakuendelea nitakapokuwa na Mamito wangu?
Ushauri taphazali!!!
Kapime tezi dume
 
Kula asali miezi mitatu mara tatu kwa siku. Pia hakikisha unafanya bila kukamia sana fanya kama hutaki vile la kwanza litatoka la pili pia na la tatu na kama mwenzako ana nguvu hata la nne na la tano ila kiafya bao mbili ni nzuri zaidi
 
Dah, hii kazi yangu siku hizi. Hata mimi nilikuwa na tatizo kama lako. Kama hutanii basi njoo inbox.
 
Mwambie mpenzi wako akufanyie yafuatayo mosi tambua kuwa kuna hisia Kali sana kati ya shimo taka na makende mwambie mwenzako awe anapagusa ukimaliza round ya kwanza pili kuna mstari unao anzia shimo LA taka hadi kwenye kichwa cha uume mwambie awembunifu awe anaugusa kuanzia kichwani hadi unapoishia utaamka tu na kuendelea labda uwe hanithi

Unataka mwanaume Mwenzio aanze kuwa na hisia hasi ataanza kutamani kutinduliwa.!
 
Jamani narudia.Mabao hayahusiani na mapenzi tuache kukariri.Mimi nina karama ya kuwashauri watu katika mahusiano .Na nimewashauri wengi sana sometime huwa najishangaa .Kiasili wanawake tulitakiwa kulala na mwanaume mmoja tuu ili hata tusijue size ya mwingine ikoje na idadi ya mabao sijui kitu gani, utandawazi umetuharibu sana.Mwanamke akiamua kukupenda atakustahi hata kama hauna bao kabisa.Watu kibao wameolewa na wanaume wana mapungufu makubwa kuliko hata habari ya mabao.Cha msingi ni kumuomba Mungu akupe ubavu wako.Wanawake tumeumbwa kuaccept love.Maana yake ni kwamba mwanaume akishakupenda ukimkubali nakwambia hata kama ana mapungufu gani haijalishi utamstahi.Kinyume chake siku hizi hadi sisi tunweka vigezo kabisa jamani ndo maana tunaumizwa.Nasimamia ukweli kwamba mabao hayahusiani na mapenzi kwa sababu mapenzi sio ngono peke yake.
Mkuu wape ukweli, hapo juu watu tulisema ila tukapingwa, watu love wanajua ni sex tuu!!!
 
Back
Top Bottom