Naelekea India nitawajuza hali ya Mwakyembe bila unafiki!

Status
Not open for further replies.
Nakutakia afya njema mwanaharakati wetu... i hope utarecover soon na utarejea ukiwa mzima nchini na kuja kuungana na wenzio kwa maandalizi ya kikao kinachofuata. IN GOD I PRAY... AMEN!!!
 
Mkuu, umeisharudi kutoka ulaya kwenye msafara wa JK, saizi unaenda tena India safari njema..

Mkuu India kubwa unakwenda mji gani?
 
Nipo ktk msafara wa bwana Zito tayari kuungana na wagonjwa wenzake pale India, nitawajuza juu ya hali ya Kamanda Mwakyembe!

Naomba sana:

Usinihoji chochote juu ya Zito au Mwakyembe
Usilulize tupo wangapi ktk msafara

Nitawaeleza yote baada ya kufika India!


vp wewe mbona umefika kwenye low cost apartment fedha zimekuishia nini njoo uchukue mkopo
 
Jason Bourne kesha nunuliwa hali ya Mwakyembe ni noumer watu wanakatazwa kumuona wanhesabu siku tu
 
Nipo ktk msafara wa bwana Zito tayari kuungana na wagonjwa wenzake pale India, nitawajuza juu ya hali ya Kamanda Mwakyembe!

Naomba sana:

Usinihoji chochote juu ya Zito au Mwakyembe
Usilulize tupo wangapi ktk msafara

Nitawaeleza yote baada ya kufika India!



Kila la kheri, mkuu, safari njema kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom