Naelekea Chuo kikuu...!

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
yani ndio tunaanza mitihani ya kwetu ya mwisho wa kumaliza kidato cha sita. Kuanzia tarehe 8 febr. Mpaka tarehe 14 febr ndo nitamaliza nitarudi jamvini sintakuwepo rasmi. Waliopo chuoni naombeni mniandalie makazi humo ndani.

You can send your wishes here.
Kazi njema na MUNGU AWABARIKI.
 
Aiseh, kumbe watoto wengi humu! nahisi wakati nafanya mtihani wa f6 wewe ulikuwa bado 'unavaa diapers'. Anyway, mtihani mwema na Mungu akutangulie!
 
Kama ni mtu wa Sayansi na Daktari to be, maliza haraka chuo uwahi mgomo kabla haujesha.
 
Mungu akutangulie katika kipindi chote cha mitihani..majibu yakitoka usisite kuja kutujuza tusherehekee
 
Aiseh, kumbe watoto wengi humu! nahisi wakati nafanya mtihani wa f6 wewe ulikuwa bado 'unavaa diapers'. Anyway, mtihani mwema na Mungu akutangulie!

Assuming mtoa maada is 19 (which is the usual age for form 6 candidates) then 19 years ago you were roughly the same age as his/her age today. This in turn makes you 38, niamkie haraka hata kama am just 42 maana mimi NI MKUBWA WAKO sana tu
 
Kama combination yako ni PMM utakuwa Mlimani dept of Mathematics. Hiyo ni idara rahisi sana kuipata. Utakuwa una deal na figurs tu. No much reading material. Mimi nilitamani sana hiyo lakini nakapata Medicine.
 
poa dogo...

Huko unakoenda kuna challenges mbalimbali dogo... Uwe mvumilivu na usipende makuu... Halafu dogo kazania unachotafuta,yaani elimu.... Mambo ya mapenzi dogo yatakurudisha nyuma kielimu na kupoteza malengo yako...

Sawa dogo?

Kila heri..
 
Dogo chuo huendi kwa kutamka tu piga msuli ......
POPOBAWA.
 
All the best, fanya uchaguzi sahihi wa kozi ukienda chuo baadae usije ukaishia kulalama hamna ajira
 
yani ndio tunaanza mitihani ya kwetu ya mwisho wa kumaliza kidato cha sita. Kuanzia tarehe 8 febr. Mpaka tarehe 14 febr ndo nitamaliza nitarudi jamvini sintakuwepo rasmi. Waliopo chuoni naombeni mniandalie makazi humo ndani.

You can send your wishes here.
Kazi njema na MUNGU AWABARIKI.

All the best chalaa
 
Best Wishes Mkuu ila usianze kujipa matumaini kwani safari bado ni ndefu
 
Back
Top Bottom