Naelekea Arumeru kama nilivyoahidi

Samahani mkuu
Sasa wewe nimekusaidia gari kinyemela halafu unalirusha hewani, unataka mi nifukuzwe kazi hapa Wizarani!? Hujui kuwa mi nawadanganya kuwa mi ma-gamba japo nawachimba chinichini....na hilo gari wanalijua.
 
Tumelipita roli la ukombombozi la CHADEMA maarufu kama Big Sound linakwenda Arusha
 
Kamanda karibu tumzindikize kamanda mwenzetu Nassari mwendo mdundo mpaka mjengoni. Hapa mtu hachakachui kitu. Wameru hawana njaa, wala hawatishiwi nyau na Tendwa pamoja na mavuvuzela wenzake waliofilisika kisiasa wamebakiwa na mikakati ya kihuni.
 
Safi sana.pia naniandaa muda Muda huu,nita ondoka monduli asubui sana,iyo yote niku akikisha wana javi wanapata kila kitakacho tokea pale arumeru.
 
Wana JF kama nilivyoahidi kuwa ijumaa nitaondoka kulekea Arumeru kuhakikisha naripoti kila ninachokiona huko kwa sasa nipo Segera nasubiri usafiri,Mwigulu nakuja kuhakikisha this time picha za video zinapanda you tube

Karibu sana natumaini kesho JF crew itakuwa mtamboni kuhakikisha kila kilicho na msingi kujulikana na walimwengu kinapaa hewani in time. Karibu sana.
 
Nilifika usiku wakubwa nimeamka mapema naelekea USA kabla napita vijiweni kuskia raia wanasemaje,kama kuna mtu mnamfahamu anikodishie Toyo(pikipiki) ili inisaidie kupanda milimani na kuleta habari za kitafiti zaidi na pia mni PM simu za watu muhimu ili niwe na balance story
 
ukifika nitafute. nikupe mahali kuna internet uhakika tusaidiane ku update mambo.
 
tayari nipo leganga hapa Mzee wa rula. tafadhali ukifika nitafute
 
Back
Top Bottom