Naelekea Arumeru kama nilivyoahidi

1.Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu. 2. Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, kando ya maji ya utulivu huniongoza. 3. Hunihuisha nafsi yangu; na kunio­ngoza katika njia za haki kwa ajili ya jina lake. 4. Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, sitaogopa ma­baya; kwa maana wewe upo pamoja nami, gongo lako na fimbo yako vyanifariji. 5. Waandaa meza mbele yangu, ma­choni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, na kikombe changu kinafurika. 6. Hakika wema na fadhili zitanifuata siku zote za maisha yangu; nami nitakaa nyu­mbani mwa Bwana milele. (ZAB 23:1-6)
 
Wana JF kama nilivyoahidi kuwa ijumaa nitaondoka kulekea Arumeru kuhakikisha naripoti kila ninachokiona huko kwa sasa nipo Segera nasubiri usafiri,Mwigulu nakuja kuhakikisha this time picha za video zinapanda you tube

Mkuu mwishoni mwa wiki ijayo nami nitakuja kujionea kama mtu huru. Bila shaka tutaonana.
 
Safari njema mkuu tunategemea taarifa toka kwako Mungu wangu alie mwaminifu sana ataifanya safari yako kuwa ya heri na baraka
 
Mimi nipo Arumeru tayari kwa ajili ya kuamasisha vijana wenye shaada za kupiga kura wajitokeze kwa wingi ili kubadilisha historia ya Arumeru.

Utakuwa maeneo gani ili tuwasiliane?
 
Wana JF kama nilivyoahidi kuwa ijumaa nitaondoka kulekea Arumeru kuhakikisha naripoti kila ninachokiona huko kwa sasa nipo Segera nasubiri usafiri,Mwigulu nakuja kuhakikisha this time picha za video zinapanda you tube

Mkubwa tu pamoja na kama vipi tutaungana wote!
NtakuPM!
 
Wana JF kama nilivyoahidi kuwa ijumaa nitaondoka kulekea Arumeru kuhakikisha naripoti kila ninachokiona huko kwa sasa nipo Segera nasubiri usafiri,Mwigulu nakuja kuhakikisha this time picha za video zinapanda you tube
Kamanda nakutakia safari njema.
 
Safari njema kamanda, mungu akuepushe na mabaya yote ya barabarani. Wape hi makamanda wote huko waambie tupo pamoja
 
Sasa wewe nimekusaidia gari kinyemela halafu unalirusha hewani, unataka mi nifukuzwe kazi hapa Wizarani!? Hujui kuwa mi nawadanganya kuwa mi ma-gamba japo nawachimba chinichini....na hilo gari wanalijua.
mkuu weka picha ya hilo gari hapa jamvini tuone kama kweli ni la serikali ya magamba.
 
Wana JF kama nilivyoahidi kuwa ijumaa nitaondoka kulekea Arumeru kuhakikisha naripoti kila ninachokiona huko kwa sasa nipo Segera nasubiri usafiri,Mwigulu nakuja kuhakikisha this time picha za video zinapanda you tube
Umuhimu wa kudhibiti hawa Makanjanja haswa wanapotumia Fedha za walipa kodi kunyang'anya haki lazima ufanyiwe mkakati maalumu wa kuukomesha,Mwigulu kijana mdogo mwenye uwezo mzuri lakini yeye kuingia CCm amekuwa jambazi na mbaka haki za wananchi hana aibu kabisa,Mwizi ,mrafi wa kisiasa,lazima aanikwe na wewe mgeni wenu tunakulaumu unakuja hapa kusema eti ooh igunga ulifanya hivi ooh ilikuwa hivi na hivi ,utakuwa wa maana sana kwenye nchi yetu kama utasaidia kukomesha vitendo vya dhuluma wanavyofanya CCM na serikali yake pamoja na watu kama Mwigulu usiruhusu kabisa ujinga wa aina hiyo
 
Back
Top Bottom