Divine...
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 1,615
- 3,117
Thnx alot .Thats Y nakupenda bure mumy.At your service Mama Mchungaji
Mwanzo 28:20-22
20: Yakobo aliweka nadhiri akisema; Mungu akiwa pamoja nami, akinilinda katika njia niiendeayo, na kunipa chakula nile, na nguo nivae
21: Nami nikirudi kwa amani nyumbani kwa baba yangu, ndipo BWANA atakuwa Mungu wangu
22: Na jiwe hili nililolisimamisha kama nguzo litakuwa nyumba ya Mungu; na katika kila utakalonipa, hakika nitakutolea wewe sehemu ya kumi.
Kama nipo sahihi Yakobo alikuja kuiondoa nadhiri yake baada ya miaka 20 ( baada ya kutoka utumwani kwa Labani) Mwanzo 35: 6-15
6: Basi Yakobo akafika Luzu, ulio katika nchi ya Kaanani, ndio Betheli, yeye na watu wote waliokuwa pamoja naye
7: Akajenga huko madhabahu, akapaita mahali pale El- Betheli; kwa sababu huko Mungu alimtokea, hapo alipomkimbia ndugu yake.......
Kwa hiyo tunaona yakobo aliiondoa nadhir baada ya Mungu kumtendea yote aliyo yataka.
Our God is good; good indeed.
Vifungu vya maandiko vimejitosheleza; haijalishi miaka mingap imepita lakin bado Mungu anaikumbuka na ataitimiza.