Nadharia ya uhalisia nafsi katika fasihi.

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
372
119
Nadharia ya uhalisia nafsi nini? Je, inajitokezaje katika riwaya mbalimbali za watunzi wa fasihi andishi?
 
nadhani unazungumzia dhana ya(personification)yaani msomaji kuvaa sura,matendo na tabia ya mhusika mkuu au wasaidizi wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom