Nadharia 30 kuhusu ufisadi

PMNBuko

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
967
154
Ufisadi unajidhihirisha katika sura mbalimbali kama vile rushwa kubwa na ndogo, ukandamizaji wa wanyonge, unyonyaji, kikundi kimoja kunyanyasa kingine, ubabe wa kiuchumi au kisiasa, biashara haramu (kama vile ya utumwa, madawa ya kulevya, bidhaa feki, biashara ya magendo, n.k.), uporaji wa mali na haki za wengine, demokrasia bandia, utawala mbovu, udikiteta, ajira mbaya kama vile ya watoto, n.k.

Je, Watawala wa CCM wanatufisadi kwa nadharia ngapi?
 
Pamoja na ujasusi ,ujasusi ni uuaji
 
Back
Top Bottom