nadhani nimekaribia,

bmx

Member
Mar 10, 2011
67
0
ndo kwanza nimejoin kama member ingawa nimekua kama guest viewer kwa muda mrefu,,naomba kuwakilisha,,
 
dah....umenikumbusha nikiwa mtoto kuna tubaiskeli tulikuwa tunaendesha vinaitwa BMX....karibu sana jukwaani
 
ahsnte preta,,

ndio manake alikuwa anajifunza na bmx ya tairi tatu nyuma.karibu mkuu..JF ni blak mamba.nafkiri kwa kupiga chabo kama guest umeshajua watu wanavyoendesha baiskeli kubwa..kariiiiib mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom