Nadhani mke wangu anamegwa usiku huu...

Wana JF, mimi nu mtu nafikiri nian post chache sana hapa jukwaani. Ninaipenda san JF na naheshimu sana mawazo ya watu, kuna kitu kinanishangaza na sijui kama ni mimi tu, watu waliojiunga na JF just before the elections and after, naona wanakuja na thread za ajabu sana (ingawa hata mimi sijajiunga muda mrefu) hivi kweli thread kama hii ni a great thinkers kukaa na kujadili? I think it is time tupost vitu vya maana vya kujadili. Samhani kama nitawaudhi wana JF wenzangu kwa comment yangu

Jamani,

Mwenzenu nilisafiri jana kikazi mbali kiasi cha kutosha na kwangu. Mchana wa leo wife kaniandikia msg anasema kuna mtu ananitafuta, nikamwambia si umwambie sipo nitarudi keshokutwa? Akasema naogopa, na anakuja kulala kwetu. Nitamtandikia sebuleni. Kijumba tulichopanga ni kidogo sana, na hakina nafasi ya kulala wageni. lakini bado mgeni kakaribishwa. Napiga simu usiku wife hapokei simu hadi iite mara tatu. Na si kawaida yake hata kidogo.

Jamani kuna usalama hapo, au NDIO NIMEKUWA BUSHOKE?
 
Ral. Afadhali umeanzisha maana mie huwa naogopa saa nyingine. Hawa watu waliojiunga kabla ya uchaguzi ni wengi sana kitu ambacho mie kinanipa wasiwasi kuwa ni wapya mie naona ni wa humu humu wameanzisha ID nyingine na wengine wanajisahau wanasema wenyewe niliwahi kutoa Thread fulani sasa unajiuliza huyu kajiunga Oct or Nov or Dec hiyo mada aliitoa lini ukiangalia ana post kama 5 mpaka 10. Umeongea ukweli sana
 
ndugu ukiacha suala la kumwamini mkeo huoni kwamba pamoja na yote unamdhalilisha huyo mwana mama aitwae mkeo? Assume hamegwi which I believe so na wewe unaweka thread kama hizi jamvini tuanze kumjadili mkeo! Lol! Mimi binafsi naona ni kumdharau na kumdhalilisha mkeo na zaidi sana inaonesha jinsi ulivyopungukiwa na adabu! Shabaash!
Sikia kijana, huyu jamaa anamjua mkewe kuliko tunavyomjua sie. Mwanamke wa kumegwa ajifichi, utamjua tu. Pia, kuacha dukuduku moyoni ni kujijengea ugonjwa wa moyo, alivyoamua kuulizia ni sawa kabisa. Kaka muuliza swali, ya nini kukaa na mwanamke kicheche? Fanya uchunguzi, kama ukigundua ni kweli mtimulie kwao. Mwanamke kicheche afai kwa mwanaume yeyote hapa duniani.
 
hapa umesema kweli yaelekea jamaa anafahamu km mkewe huwa anafanya kweli na kila kidume kilicho karibu ndo maana kashtuka
kupata huyo mgeni usiku huo anajua atajilia vyake.na mtoa mada sijui kajitunndika
E BANA NJOO UTUPE MATOKEO
 
Acha presha, lala wewe,hakuna marefu yasiyokua na ncha.....time will tell you the whole thing acha kutupa kazi hapa
 
Ila kumegewa mke si kitu cha mchezo cha muhimu ongeza chumba na epuka kuwa na wageni wa usiku ndio maana tunavyumba vya kulala wageni au wewe kwako ni nyumba ya wageni?
 
Wana JF, mimi nu mtu nafikiri nian post chache sana hapa jukwaani. Ninaipenda san JF na naheshimu sana mawazo ya watu, kuna kitu kinanishangaza na sijui kama ni mimi tu, watu waliojiunga na JF just before the elections and after, naona wanakuja na thread za ajabu sana (ingawa hata mimi sijajiunga muda mrefu) hivi kweli thread kama hii ni a great thinkers kukaa na kujadili? I think it is time tupost vitu vya maana vya kujadili. Samhani kama nitawaudhi wana JF wenzangu kwa comment yangu

Mimi pia sijajiunga muda mrefu JF. Hata hivyo nikiri tu kuwa kwa kiasi fulani JF niionayo sasa haifikii matarajio niliyokuwa nayo. Ni threads chache unakuta watu wanajadili mambo ambayo ni hot. Actually, hatutegemei katika Jukwaa la Mapenzi kuwekwa vitu solid kama katika Jukwaa la siasa (Japo huku pia kuna mizaha kweli) ama Sayansi (Angalau hapa) lakini mizaha imezidi sana katika Jukwaa hili la Mapenzi.

Wanaume wanaongoza kuweka thread zinazojadili vitu vya ajabu ajabu kuhusu wanawake. Ni kweli pia kuwa ngono ni sehemu ya mapenzi lakini naona wanawake wanavuliwa nguo kweli katika Jukwaa hili. Jukwaa la Mambo ya Kikubwa linasahaulika. Usishangae hapa mtu akaja na thread, "Huyu mwanamke ana ******\o makubwa, ananitega?" Halafu wachangiaji watamjibu, "Chapa kitu hicho"!!! Juzi hapa iliwekwa picha ya Britney Spears yuko uchi kabisa. Angewekwa mwanamme ambaye dhakari yake iko wazi ishu ingekuzwa kweli. Sijui wanawake humu wanachukuliaje mambo haya. Tunaogopa kusema maana huenda tukashambuliwa hata na baadhi ya wanawake. Aah, haya bwana......!!
 
Ayayayayayaya,unamjua lakini kama ni muaminifu hawezi kufanya lolote baya!
Labda alikuwa kachoka sana so akapata usingizi mtaaaaaaaaamu
 
Mimi pia sijajiunga muda mrefu JF. Hata hivyo nikiri tu kuwa kwa kiasi fulani JF niionayo sasa haifikii matarajio niliyokuwa nayo. Ni threads chache unakuta watu wanajadili mambo ambayo ni hot. Actually, hatutegemei katika Jukwaa la Mapenzi kuwekwa vitu solid kama katika Jukwaa la siasa (Japo huku pia kuna mizaha kweli) ama Sayansi (Angalau hapa) lakini mizaha imezidi sana katika Jukwaa hili la Mapenzi.

Wanaume wanaongoza kuweka thread zinazojadili vitu vya ajabu ajabu kuhusu wanawake. Ni kweli pia kuwa ngono ni sehemu ya mapenzi lakini naona wanawake wanavuliwa nguo kweli katika Jukwaa hili. Jukwaa la Mambo ya Kikubwa linasahaulika. Usishangae hapa mtu akaja na thread, "Huyu mwanamke ana ******\o makubwa, ananitega?" Halafu wachangiaji watamjibu, "Chapa kitu hicho"!!! Juzi hapa iliwekwa picha ya Britney Spears yuko uchi kabisa. Angewekwa mwanamme ambaye dhakari yake iko wazi ishu ingekuzwa kweli. Sijui wanawake humu wanachukuliaje mambo haya. Tunaogopa kusema maana huenda tukashambuliwa hata na baadhi ya wanawake. Aah, haya bwana......!!

JF!! Ni kiboko.

MAWAZO YANGU:

Nimejiunga muda si mrefu JF na siwafahamu in person wajumbe wake -isipokuwa wawili watatu hivi -nimegundua kitu kimoja (kwa mtazamo wangu ndio uzuri wa JF): Kuna thread zinaonekana kuwa ni za kijinga lakini kuna watu ambao wanasumbuliwa na matukio ya kweli yanayoletwa hapa ama kwa utani au serious -na hawawezi ku-post. Maoni yanayotolewa hapa unaweza kucheka hata kama umechukia! A problem shared is half solved guys! Hata kama sharing yenyewe ni kwa watu usiowafahamu - and in fact hapo ndipo unaweza kusema chochote maana huna sababu ya kuona aibu (mnadhani in person Maria Roza atamwambia mtu asiemfahamu vitu anavyotuletea hapa???)

The bottom line ni kuwa, we never know huenda JF inaokoa watu wasi-commit suicide.

BTW: Kwa mwanzishaji thread hii: Samahani kama nimekukwaza kwa immediate post yangu (nilitakiwa kuweka quotation marks kwenye post yangu ili kuonyesha ni mawazo yangu).
 
Huyo mama ni mwaminifu vinginevyo angekaa kimya na usingejua . ukiona anakwambia basi ujue tatizo halipo. anayemega huwa hatajwi unashitukia mwenyewe movie . Na hapo ndipo unapolia na kusaga meno.
 
Na wewe tafuta mwanamuke ule tunda, dawa ya moto ni moto, akiua paka wako wewe ua mbwa wake.:teeth::teeth::teeth::teeth::teeth::teeth::teeth:
 
Jamani,

Mwenzenu nilisafiri jana kikazi mbali kiasi cha kutosha na kwangu. Mchana wa leo wife kaniandikia msg anasema kuna mtu ananitafuta, nikamwambia si umwambie sipo nitarudi keshokutwa? Akasema naogopa, na anakuja kulala kwetu. Nitamtandikia sebuleni. Kijumba tulichopanga ni kidogo sana, na hakina nafasi ya kulala wageni. lakini bado mgeni kakaribishwa. Napiga simu usiku wife hapokei simu hadi iite mara tatu. Na si kawaida yake hata kidogo.

Jamani kuna usalama hapo, au NDIO NIMEKUWA BUSHOKE?

Huyo mtu anayekuja kulala kwako una uhusuano naye kivipi...ni mjomba, kaka, shemeji....?????
 
Back
Top Bottom