Nadhani alisomeka.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Mbongo mmoja akiwa ndani ya hoteli moja south africa,mara panya akaingia ndani.Jamaa akamtisha yule panya lakini yule panya alitulia bila hofu. Jamaa alikuwa hajui panya kwa kiingereza anaitwaje na wahudumu wote wanatumia english language.Mbongo akaamua kujiumauma ivo ivo,akapiga simu kwa mhudumu,"halloow,here room number 52,do you know TOM&JERRY?.Mhudumu akajibu YES!. Mbongo akajibu:eek:kay,now JERRY is here.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom