Nadesign LOGO/ NEMBO za uhakika cheki samples kwenye blog yangu

MTAMBOKITAMBO

Senior Member
Jun 2, 2011
194
39
Habari wakuu,mimi ni kijana mdau wa graphics.Nadesign logo,banners,websites,images...na kazi zangu ni za haraka na uhakika.Kwa wale mtakaohitaji logo ama nembo za biashara zenu msisite kuwasiliana nami.
Tembelea blog yangu www.logozetu.blogspot.com ujionee mifano ya kazi zangu.

email: logozetu@gmail.com

Ahsanteni!
 
Yani umeshindwa hata kuweka link ya kwenda kwenye hiyo blog yako? Nimeanza kupata wasiwasi na ubora wa kazi zako hata kabla sijafungua.
 
Habari wakuu,mimi ni kijana mdau wa graphics.Nadesign logo,banners,websites,images...na kazi zangu ni za haraka na uhakika.Kwa wale mtakaohitaji logo ama nembo za biashara zenu msisite kuwasiliana nami. Tembelea blog yangu www.logozetu.blogspot.com ujionee mifano ya kazi zangu. email: logozetu@gmail.com Ahsanteni!
Hongera sana. nimepitia LOGO zako na ni nzuri kwakweli. Nitakutafuta nikiwa nataka kuimprove LOGO ya company yangu. BIG UP
 
dah. kijana kazi zako nziru sana nimezikubali...Mungu akujaalie na upate wateja wengi Inshaallah!

Back
Top Bottom