Nadaiwa na bodi ya mikopo (HESLB) nataka kukopa tena,inawezekana?

mwambunnyara

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
518
206
Nimehitimu chuo mwaka 2013,bodi ya mikopo ilinikopesha tangu naanza mwaka wa kwanza mpaka mwisho,baada ya kufanya kazi kidogo,nafikiria kwenda masomoni kusomea degree nyingine,(sio masters),nafikiria kulipa kiasi Fulani cha deni langu LA awali,then niombe kukopeshwa tena na bodi yetu,kwa mlio wazoefu na hii kitu,naweza kukopesheka kweli???
 
nichek 0766205600 nikupe njia
 
Mkuu ushapewa njia? Pia inategemea unaenda kusoma degree gan. Kama ni ualimu wa sayansi na Hisabati wanakupa mkopo

Mkuu degree yangu ni ya sayansi,(Bsc.Ed),nakusudia kufanya course tofauti kabisa!!!
 
Katika muongozo wa HESLB, kuna kipaumbele kwa wanafunzi watakaoenda chuo kusoma ualimu wa sayansi na hisabati. Kama tayari una degree na unataka kuchukua degree inyingine ktk fani ya education ina science and math hapo unapewa haijalishi unadaiwa kiasi gani kwa maelezo zaidi cheki muongozo wa HESLB ktk web yao

Back
Top Bottom