NACTE yatoa majina ya waliopata nafasi ya kujiunga na vyuo ngazi ya cheti na stashahada 2016/2017

Kwa wadogo zangu mliomaliza kidato cha sita na wa kidato cha nne mnaohitaji info kuhusu vyuo vya china(kozi,ada na admission process) kwa mwaka 2016 ninaweza kuwasaidia na i can help with admission process too.tuwasiliane kupitia +8613065131363 whatsapp only.na kwa wale form six science waliokosa sifa za kujiunga na shahada foundation courses za mwaka 1 pia zipo .Karibuni huduma inatolewa bure
Mkuu unataka kula vichwa chap chap! Wabongo noma kwelikweli yani kwenye matatizo ndio wanakopigia dili
 
Nimejaribu kupitia comments nyingi hapa yaani kweli Tanzania bado tunasafari ndefu Mno! Mtu anategemea kwenda kusoma certificate au diploma hajui vitu vidogo vidogo ambavyo kwenye website husika ya NACTE vyote vimeelezewa! Hizi course wanaenda kuzisomaje? Hili ni tatizo la shule za kata au? Nisaidieni jamani
 
Jamani mwenye link ya majina yote ayaweke hapa, ama mnisaidie kuangalia namba hizi, S1901/0028/2015,
S0218/0021/2014,
S0313/0079/2015. Asanteni.
Mkuu kama umeweza kupost kitu JF means una smartphone au pc sasa unashindwa nini kuingia website ya NACTE na ukapata unachohitaji mkuu! Mambo mengine mnatuabisha nyie wasomi! Kijijini wenye simu za tochi waombe na nyie wa mjini wenye simu za smartphone muembe tena kuangaliziwa?
 
Naomba mwenyewe kujua moja ya mhusika au namba ya simu ya mkono ya chuo cha clinical offer machame mosh anipatie hapa ntashukuru sana iliniweze kukomfarm nafas yangu niliopata chuon hapo
Machame cotc jiandae na masweta yakutosha mkuu baridi lipo asee ila taaluma yake ni best ukimaliza miaka yako mi3 pale u can work anywhere..hongera
 
Kuna mdogo wangu ana D masomo yote kaomba nursing certicate kibosho xul of nursing ila nikiandika not found ndo kakosa au na kuna 2nd selection au?
 
Kuna mdogo wangu ana D masomo yote kaomba nursing certicate kibosho xul of nursing ila nikiandika not found ndo kakosa au na kuna 2nd selection au?
Kama ni mwezi wa saba lazma isome not found kwasababu majibu hayajatoka bado.. Vuta subira siku si nyingi watatoa
 
Kama ni mwezi wa saba lazma isome not found kwasababu majibu hayajatoka bado.. Vuta subira siku si nyingi watatoa
Angalia Alama zake ana D zote atapa nini sasa mkuu huyo kakosa Not found means hajafikisha qualification angekuwa nazo ingekuwa Found!!!! Hana cha kusubiri hapo zinatakiwa C TATU
 
Kuna mdogo wangu ana D masomo yote kaomba nursing certicate kibosho xul of nursing ila nikiandika not found ndo kakosa au na kuna 2nd selection au?
Huyo kakosa ilitakiwa awe na C zote na sio D au C 3 kwa physics,biology na chemia
 
Angalia Alama zake ana D zote atapa nini sasa mkuu huyo kakosa Not found means hajafikisha qualification angekuwa nazo ingekuwa Found!!!! Hana cha kusubiri hapo zinatakiwa C TATU
Hivi unazungumzia nini? Kwasababu mtu kama ana D zote na alisoma sayansi kwanini asichaguliwe? Na pia inategemeana na kama kaomba certificate.... Kwani kaomba upande upi??
 
Hivi unazungumzia nini? Kwasababu mtu kama ana D zote na alisoma sayansi kwanini asichaguliwe? Na pia inategemeana na kama kaomba certificate.... Kwani kaomba upande upi??
aliomba certificate cz nliambia aweZ omba diploma
 
Back
Top Bottom