Nachoma moto karakana

Simeon

Member
Nov 29, 2010
61
19
Fundi seremala kamfumania jamaa kwa mkewe,kamkamata mwizi wake kampeleka karakana,kaishika nanihii yake kaibana na vice,kaenda kuchukua msumeno,jamaa kumuona fundi kashika msumeno analia usinikateeee....usinikateeeee......Fundi akasema''SIKUKATI ILA NITAKUPA MSUMENO NA KUCHOMA MOTO KARAKANA''
 
Huyu Escobar atakuwa hajaelewa tu si unajua jina hili ni la muuza cocaine maarufu duniani,jamaa ana choice mbili kuukata uume ajiokoe au aungue moto na kufa kabisa hapo patamu lol!
 
hapo lazima ajikate mwenyewe.

Umenikumbusha kisa cha mmasai mmoja, alikaa kwenye reli, sasa treni ikatokea **** likabanwa na ule uwazi wa chuma cha reli kinapoonganikia, masai kuona anakaribia kugongwa, akatoa sime akakata **** akasepa!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom