Nachojionea hapa Morogoro aghkani hospital

samilakadunda

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
1,780
354
huwezi amini nipo nipo hapa huspitali ya prave daktari ni mmoja anatuaga na kurudi baada ya dk 5,huweziamini wagojwa wamekimbia gev hosp kukutana na zahma hii na huku kwa tunakolipa pesa cash nako kihama,naomba kutoa rai kwa Jk yakwamba wananchi wanaopata taabu na kufariki kwa jeuri yake ipo siku atajibia kwani ndie aliyetufikisha hapa tulipo.
 
Back
Top Bottom