Nachelewa kuingia kwa bedi ..... hataki....

Wewe ni kizungurukamoto. kwanza unaishije na mchumba kama siyo uasherati aka uzinzi. Huyo nae alale tena afunge domo lake aisjaribu kukuuliza, alipashwa awe kwao kalala. Faida ya kuishi bila ndoa mtaijuitia!
Wajua maana ya ndoa? wacha matuzi bibie tuheshimiane!
 
Acha kusingizia umeme na charting she is supporsed to be among ur first priorities nenda kalale hata kama yeye ameshalala muda mrefu na uache kumtesa mwenzio kwa nuno zisizo za lazima na hivi ana mimba ndio kabisa hutakiwi kumfanyia vituko, treat her good, badilika
 
Mkuu, unadhani mwenzako ana moyo wa chuma eeeh? Mjali bana mwenzio anajihisi vibaya, tena si ajabu anaona unamfanyia makusudi kwa sababu ni mchumba haujamuoa!
 
Acha kusingizia umeme na charting she is supporsed to be among ur first priorities nenda kalale hata kama yeye ameshalala muda mrefu na uache kumtesa mwenzio kwa nuno zisizo za lazima na hivi ana mimba ndio kabisa hutakiwi kumfanyia vituko, treat her good, badilika
Kwani aikiwa na mimba ndo inakuwa tamu zaidi? Okfi / nijibu na naenda kumsumbua sasa wifi / shemeji yako.
 
Kwani aikiwa na mimba ndo inakuwa tamu zaidi? Okfi / nijibu na naenda kumsumbua sasa wifi / shemeji yako.
Yah inakuwa tamu sana nenda kamsumbue alafu ulete feedback, na usiishie leo tu badilika na kuwa baba mtarajiwa mwema uache hiyo tabia yako mbaya
 
Nenda kampe moja moto then ukimaliza utamuona mwenye anakushukuru,usiache mwanamke akalala na hasira hata siku moja hata kama mmegombana koz atanuna siku nzima,make sure unashughulika usiku maana ukimaliza tu nayeye asira zake zimekwisha.
 
Hata sasa hivi bibie kalala, napenda charting dugu,
Unapenda charting kuliko mpenzi wako?unachart na nani sasa, embu ona ulikuwa na sababu ya kuanzisha thread mida hiyo? si ungeenda kwa mpenzi wako
 
Unapenda charting kuliko mpenzi wako?unachart na nani sasa, embu ona ulikuwa na sababu ya kuanzisha thread mida hiyo? si ungeenda kwa mpenzi wako
Charting inanipanua mawazo, mambo ya kwa bed unajua kipi kinafanyika - no gaining
 
Unapenda charting kuliko mpenzi wako?unachart na nani sasa, embu ona ulikuwa na sababu ya kuanzisha thread mida hiyo? si ungeenda kwa mpenzi wako
<br />
<br />

Labda anayechati nae humu hakuwa online akaishia kukosa raha bora angesema ukweli

Usije kuna una chati na same sex kwi kwi kwi
 
Mkuu ni vema uendelee kumjali huyo bibie kwa vile yuko kwenye kipindi hicho,la unaweza mletea matatizo binti wa watu au kama inabidi jitahidi kumshirikisha hata watu unaochti nao humu ili umjengee uaminifu zaidi au la mpatie haki yake then muombe urudi kuchati,lakn ni vizuri sana ukimsikiliza kwani atafajika sana na ukiendelea utaona anakwambia ooo si kwa vile nna mimba sawa tu!
 
Mpaka sasa niko na laptop, mchumba kalala, ni kesi kwa kesho asubuhi, nisaidie mawazo!

Yale yale yaleeeeeeee... Ukitoka hapo kwa laptop straight kama hajasinzia vzuri unataka umparamie akupe chakula cha usiku. Mkuu Tutor B ni muhimu sana kuwa na muda wa kutosha na umpendae faragha might be on bed au hata kwa sebule... hii inatengeneza mazingira mazuri ya kuzungumzia mapenzi yenu... Kukumbatiana na ku mnanilii nanillii kama alivyojisemea AFrodenzi. As couples kuna haja gani ya kila mtu kwenda kulala mwenyewe, kula mwenyewe au kuoga mwenyewe kama hakuna jambo la msingi linalowazuia kufanya hayo pamoja! Kwa bahati mbaya zaidi utakuta anaeng'ang'ania laptop either yuko f.book, JF au hata kwenye mtandao mwingine wa kijamiii. Kila kitu kina wakati wake bwanaaaaaaaaaaaa. We unamwacha mwali kakumbatia mto wewe unachat... mmmmhhhhhhh..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom