We unaona ni easy?
Na nani?
Lini?
Tutaanzaanzaje yani process ngumu kweli yaani
ugumu unalifanya weye,hizi sarakasi hufanyika usiku baada ya mihangaiko yote sasa ukisema mambo mengi sikuelewi.Hata wafanyakazi wa usiku mfano wa makampuni ya simu/walinzi wanazaa ni kuwa na nia tu au ulitoa mimba nyingi huko shule/chuo unahisi huwezi kuzaa ?Uporoto bwana na nani mfano mambo mengi ujue
Ina maana haujawai kutokewa na mwanaume?We unaona ni easy?Na nani?Lini?Tutaanzaanzaje yani process ngumu kweli yaani
Mi mwanamke
Igweee kuna bebii mwanamme kweli au unafurahisha jukwaa ?
heh! Afu we acha kunipotezea, mbona jana hukunireply?sasa uporoto hzo sarakasi nifanye na nani?
Wanaume tupo wa kutosha, chaguo lako tu...Mi mwanamke
sasa uporoto hzo sarakasi nifanye na nani?
Mcheza sarakasi nipo baby mpaka cheti ninacho muda na siku panga wewe tena mara moja tu asubuhi unaanza kutapika ujue mambo saafi.Saa ngapi? Uporoto
Mwanzoni nilidhani yupo serious lakini kwa post hiyo hapo juu nimegundua kuwa anachangamsha forum tu, she is not serious hata kidogoNawashukuruni sana wana jf kwa majibu yenu toka kwa post yangu ya kuomba msaada juu ya tatizo langu ilo ila wengi mmenishauri nizae sasa nitazaaje? Iyo process ya kuzaa from a to z kaazi kweli nifanyeje wana jf? Asanteni.
Halafu kama namfahamu vile na amekuja kivingine,haya bebii sijui ..... lol!Mwanzoni nilidhani yupo serious lakini kwa post hiyo hapo juu nimegundua kuwa anachangamsha forum tu, she is not serious hata kidogo