Nachanganyikiwa na watoto wana jf

Embu acha tabia mbaya...tangu lini kutamani kua na mtoto/kua mama kukawa dalili za ushoga?!Kwahiyo wamama wote ni mashoga?!

We will destroy our baby with LOVE...source Elton John.....bado tu unataka mingine?
 
Una mapenzi ya kweli kwa watoto weye..sasa ongea na Babu Asipirini atakupa ushauri tu mzuri...note bene...mambo ya Ubazazi mkatalie maana ndo zake.
 
Inaonekana sio unatamani watoto ila unataka mtoto dada!Hebu jikague vizuri maana wanawake wa umri wako huwa na mtazamo huo!
 
Pale LOVE CONNECT kuna jamma katangaza anataka mtoto atamtunza ila wewe hataki muishi woote... Perfect Match...
swaaaaaefffiii, hivi mpaka miaka yote 30 alikuwa anasubiria nini? Au ana sura kama avatar yangu?
 
swaaaaaefffiii, hivi mpaka miaka yote 30 alikuwa anasubiria nini? Au ana sura kama avatar yangu?
Aliye kupa wewe watoto kabla ya 30 ndiye anajua kwa nini hajampa hata baada ya 30.stop condemnations,Ukipata shukuru usicheke wenzio walokosa..
 
Sasa beb kwa maneno yako mwenyewe hutaki kusikia 'habari za kungonoka' kwahiyo subiri miujiza au acha kubana sana achia kidogo tu tutafungua wenyewe na mtoto atapatikana.Kwakuwa hutaki kusikia mambo ya kungonoka ukizaa tu we usibane ishone kabisaa.
 
ni jambo la kawaida kwa wasichana kama nyie ! zaidi ongeza bidii kwenye kuandaa maisha bora iko cku utapata mtoto na ndoto na furahayako itatimia ! dream mother
 
Embu acha tabia mbaya...tangu lini kutamani kua na mtoto/kua mama kukawa dalili za ushoga?!Kwahiyo wamama wote ni mashoga?!

jamani Lizzy kuwa mpole kidogo......................labda hakumwelewa.................................kuwa ni jike......alifikiri ni dume............
 
just pm,i'l give you a handsome baby boy like me!if you realy in need just do it!
 
Nawashukuruni sana wana jf kwa majibu yenu toka kwa post yangu ya kuomba msaada juu ya tatizo langu ilo ila wengi mmenishauri nizae
sasa nitazaaje?
Iyo process ya kuzaa from a to z kaazi kweli nifanyeje wana jf?
Asanteni.
 
wewe ni shi au hi,.......i mean jinsia yako plz,maake kama process ya kuzaa huijui basi,...
 
hujui utazaaje? si watafuta patner wa jinsia tofauti na yako ambaye nafsi imeridhia ukiapply kibaba baba kitu na box, cha msingi ni kucheki afya tu maradhi mengi, pia uchunguze isije ikawa kwao wana maradhi ya kuridhi kama sikoseli nk
 
Nawashukuruni sana wana jf kwa majibu yenu toka kwa post yangu ya kuomba msaada juu ya tatizo langu ilo ila wengi mmenishauri nizae
sasa nitazaaje?
Iyo process ya kuzaa from a to z kaazi kweli nifanyeje wana jf?
Asanteni.
Kwahiyo unaogopa nini ? kuvua chu** au swala la kubeba mimba miezi 9 na patashika ya kujifungua ?
 
Back
Top Bottom