Nabisha hodi toka Maruku naleta Vanilla JF

:frusty: Hodi hodi, ng'ong'o, ng'ong'o,.......!

Asanteni sana kwa kunipokea :thumb:

Ninaitwa Byeyombo. Ni mkulima wa vanilla kutoka Bukoba Vijijini. Ninaongoza ushirika unaoitwa Maruk Vanilla Farming and Processing. Ninafurahi sana kujiunga na jukwaa la Jamii.

Malengo na matarajio yangu ni kushiriki kikamilifu katika mijadala na kunufaika na jinsi ya kuboresha kilimo cha mazao mbadala ya biashara na kuinua kipato cha mkulima.

Asanteni tena na tena kwa kunipokea.

Hapo kwenye blue:Maruku Kanyangero au Maruku kiwanda cha chai.Nyegera waitu mzee wa Maruku.
 
Back
Top Bottom