Nabii na mtume Onesmo Ndege alipua bomu kanisani leo; waumini wote wataharuki

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,052
Katika kuonyesha mwisho wa dunia umekaribia
nabiina mtume onesmo ndege amelipua bomu leo kupitia mch wa mbeya aitwaye dk tumudike
dk huyu ambae amekuja kwenye kanisa kuhubiri semina na kongamano aligeuka kichekesho leo
pale alipoamua kudilina waliomgeuka nabii onesmo na kuchuku masaa kadhaa kuhubiri neno la
mungu iwapo utamchukiza ndege na familia yake..pamoja na hilo dk huyo aliamua kwenda mbali zaid
na kumuita onesmo ndege na kusema huyu ametoka mbali sana na hastahili kuitwa nabii na mtume mtume
hata serikali awalitambui hili jina nakuamuru nabii onesmo mara m oja kupanga siku aje kumsimika kama
askofu onesmo ndege..akadaia amesikia mengi matatizo yaliopoo kanisani akasema akuna atakaeweza nguvu za mungu
na kusema yeye ndege ndio kiongozi wa yote akuna anaetakiwa kuuliza chochote baada ya kusema ndege
nanukuu

mi nawaambia kuna wach wanatumiwa kuuliza uliza ooh sadaka zimetoka ngapi accont ziiko ngapi mbona zimetolewa kiasi kadhaa zimefanya nini weweeeeeeeeeee nani aliuliza dk mch tumudike na kusema ndege akiamua ana w=uwezo wa kutojibu chochote nakusema ole wenu ..akaanza kutoa ole kadhaa watu wakiamini baada ya hapo anaanza mahubiri
akamalizia nimemaliza mahubiri watu eeeeeeehhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

kwakweli sasa mungu anarudi kamammesoma leo swala la kakobe ni kitu hiko hiko na hata huko kwa ndege tatizo ni hilo hilo maulizo ya shekeli nafikiri kutumia watu kutishia bdala yakusema neno la mungu ambalo watu wamelijia sio wakati wake tunaaga nyumban kupata uzima wamilele oinapofika mch anachukua mahubiri kuhubiri matatizo yakanisa kwenye semina si vyema maana amjui nani ametoka wapi semina ni kila mtu wala si kwa kanisa fulani sasa inaonyesha mnashindwa hata kuficha siri za kanisan mwenu na kuonyana kwenye kongamano no hiyo sio nzuri

baada ya hapo akasimama ndege na kusema mwenyekusikia amesikia akanukuuu baadhi ya maneno ya baibo nakusema hata ukeshe ufunge ujifunike magunia kama hujatii kiongozi wako ama kumkasirisha akuna baraka za aina hiyo unazoomba zinakuja

watumishi mungu awape neema ya kujua kufundisha na kuficha siri zenu
mbarikiwe

mungu alitukuze kanisa lake
 
Hawa akina Onesmo Ndegi ni matapeli tu na siku zao zimewadia za kujulikana uzandiki wao
 
Kinacho walazimisha kwenda kwenye Makanisa yao ni nini hasa?
Manake kama hukwenda usingepata kukereka, kwa mantiki hiyo tusingepata kusikia malalamiko yako..
Biblia imeweka wazi kuwa wataibuka mitume na manabii wa uongo, so ukiwa na doubt naye simply usiende kanisani kwake..
 
Katika kuonyesha mwisho wa dunia umekaribia
nabiina mtume onesmo ndege amelipua bomu leo kupitia mch wa mbeya aitwaye dk tumudike
dk huyu ambae amekuja kwenye kanisa kuhubiri semina na kongamano aligeuka kichekesho leo
pale alipoamua kudilina waliomgeuka nabii onesmo na kuchuku masaa kadhaa kuhubiri neno la
mungu iwapo utamchukiza ndege na familia yake..pamoja na hilo dk huyo aliamua kwenda mbali zaid
na kumuita onesmo ndege na kusema huyu ametoka mbali sana na hastahili kuitwa nabii na mtume mtume
hata serikali awalitambui hili jina nakuamuru nabii onesmo mara m oja kupanga siku aje kumsimika kama
askofu onesmo ndege..akadaia amesikia mengi matatizo yaliopoo kanisani akasema akuna atakaeweza nguvu za mungu
na kusema yeye ndege ndio kiongozi wa yote akuna anaetakiwa kuuliza chochote baada ya kusema ndege
nanukuu

mi nawaambia kuna wach wanatumiwa kuuliza uliza ooh sadaka zimetoka ngapi accont ziiko ngapi mbona zimetolewa kiasi kadhaa zimefanya nini weweeeeeeeeeee nani aliuliza dk mch tumudike na kusema ndege akiamua ana w=uwezo wa kutojibu chochote nakusema ole wenu ..akaanza kutoa ole kadhaa watu wakiamini baada ya hapo anaanza mahubiri
akamalizia nimemaliza mahubiri watu eeeeeeehhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

kwakweli sasa mungu anarudi kamammesoma leo swala la kakobe ni kitu hiko hiko na hata huko kwa ndege tatizo ni hilo hilo maulizo ya shekeli nafikiri kutumia watu kutishia bdala yakusema neno la mungu ambalo watu wamelijia sio wakati wake tunaaga nyumban kupata uzima wamilele oinapofika mch anachukua mahubiri kuhubiri matatizo yakanisa kwenye semina si vyema maana amjui nani ametoka wapi semina ni kila mtu wala si kwa kanisa fulani sasa inaonyesha mnashindwa hata kuficha siri za kanisan mwenu na kuonyana kwenye kongamano no hiyo sio nzuri

baada ya hapo akasimama ndege na kusema mwenyekusikia amesikia akanukuuu baadhi ya maneno ya baibo nakusema hata ukeshe ufunge ujifunike magunia kama hujatii kiongozi wako ama kumkasirisha akuna baraka za aina hiyo unazoomba zinakuja

watumishi mungu awape neema ya kujua kufundisha na kuficha siri zenu
mbarikiwe

mungu alitukuze kanisa lake
Mzee umeandika kiswahili kibovu!
 
weeh nae na stori zako! sasa ndege sijui njiwa ndo kalipua bomu kupitia speaker ama mdomo wa huyo mchungaji mwingine? una uhakika alitumwa na ndege? kwa nini usiseme yaliyojiri halafu watu wakaamua wenyewe kuhukumu? kichwa cha habari nadhani kimekuwa cha kishabki,natumaini ulifurahia ibada hiyo
 
Pdiddy huwa nikosoma mabandiko yako na commnet zako nashia kucheka tu japo zina ujumbe mzito. Sasa ukichanganya nahiyo avatar. teh teh teh

Thanks
 
Inahitaji kusoma kwa kutulia ili uelewe kilichomo (contents), nimeelewa kidogo kwamba tatizo ni pesa (sadaka) sasa ndugu yangu nataka nikwambie neno la Mungu liko wazi soma utalielewa na utaujua mlango sahihi wa kuingia pasipo kulazimishwa au kulaghaiwa.
 
mhhhh sijaelewa kabisa lugha aliotumia nimebaki mkavu kabisa, naomba pdidy atusaidie kuedit tena aitume, akumbuke nukta,mkato nk.
 
Mi nilifikiri nina mapepo ndio yanafanya nisielewe!! Kumbe kila mtu haelewi?? Jamaa inabidi tumpeleke akajifunze kiswahil na mwandiko!
 
ufisadi wa makanisa ya kiroho ni mkubwa mno. Wachungaji wengi ni mbwa mwitu wakubwa! kaone chonjo ama la mtakokotwa kama wanaijeria wale wanalishwa ile krimu ya uchafu mkuu! ashhhhhh!!!!!!!
 
Pddy I think you have a point!!! however dont think this is right a UKUMBI kuongea mambo haya.....nakumbuka Bwana Yesu alitoa mfano kwamba kipo chakula cha watt na hakipaswi wapewe mbwa....hivyo hvyo yapo mambo yetu tunahitaji kujua wapi tuyaongee na kuwekana sawa!!!
Mungu atusaidie sana na kutupomywa na utapeli mazabahuni na kutuwezesha kupata sehemu ya kuweza kuonyana na kukemehana sisi kwa sisi!!
 
Ndg Pdidy, usisikie propaganda za watu njoo Full Gospel ushuhudie kwa macho yako mwenyewe KAKOBE hana uwezo wa hata kusogelea sadaka au kugusa sadaka yeyote. AMINI USIAMINI. SADAKA HUSIMAMIWA NA WATU 30-(makini, wasomi,waongofu,wenye kujaa hofu mbele za Mungu na ambao wao wenyewe ni watoaji wakuu wa sadaka") KUKUSANYA, KUHESABU, KUBANK, KUBUDGET ( mapato na matumizi) achana na hao ( walioshindwa viwango) ambao ndio wanaomezea wafanye kama wanavyofanya watumishi wengine.
TAFADHALI ACHA KABISA KUMLINGANISHA KAKOBE NA HAO WENGINE.
 
sijui kama manabii na mitume wanasoma hizi comments. Kiukweli lalamiko kubwa la watu ni ukwasi wao ukilinganisha na hali ya kanisa. wengi wanaishi maisha ya kifahari kuliko kondoo wao. Mbaya zaidi hawatoi kwa jamii kwa namna inavyopasa! na wakitoa kidogo basi lazima kuwe na media. Kwani mkiweka wazi sadaka si ndio mtatusaidia? makanisa ya Lutheran . Roman catholic na Anglican catholic yanautaratibu mzuri sana wa kila jumapili kutangzaza sadaka. Moravian wao askofu ndio hata hasogelei ili kumtoa majaribuni. Lakini manabii na mitume wakisikia kuna mwingine ndani ya kanisa lake anapewa 10% huyo lazima atengwe!
 
Back
Top Bottom