Nabii na Mtume Josephat Mwingira awachana live viongozi.

Hivi si ndo huyu anaetuhumiwa kula wake wa wenzie.

[h=2]Nabii na Mtume Josephati Elias Mwingira wa Efatha ameshitakiwa KISUTU kwa makosa ya Zinaa!!![/h]
Anayejiita Nabii na Mtume Josephati Elias Mwingira kutoka Efatha ameshitakiwa na Dkt Willium Morris kwa kosa la kufanya Zinaa na kuzaa na Mkewe.

Mwingira wa Efatha anatajwa kufanya zinaa na Mke wa Dkt Willium alitwaye Bi Philis Nyimbi mfanyakazi wa Wizara ya afya Songea ambaye anatoka kabila moja na Mwingira.
Zinaa hiyo imetajwa katika hati ya mashitaka kuwa ilifanyika katika hoteli ya Millium Tower ambapo Mwingira alikodisha chumba hapo kwa ajiri ya Maombi ya Deliverence usiku kucha.
Hati ya Mashitaka inazidi kuelezea kuwa Nabii Mwingira amezaa motto na mwanamke huyo na kupewa jina la DAUDI.
Kufautia kashifa hizo Dkt Morris amemtaka Mwingira kulipa fidia ya Tshs7billions na ameiomba mahakama itoe kibali cha Mwingira kwenda kupima DNA.

Kesi hiyo namba306/2013 imepangiwa hakimu Kisutu aitwaye BI HELLEN RIWA na imepagwa kusikilizwa kwa mara ya kwanza tarehe 12/12/2013..


Tuhuma za kutembea na wake za watu zimemkumba Mwingira baada ya ile ya kwanza ambayo Mwingira alifanya zinaa na mke wa Mbuya na kumwambukiza ugonjwa
Angalia hapa:
Katika kesi hiyo266/2010 Mbuya anatetewa na Wakili Michael Ngalo ambaye anajibu malalamiko ya Josephate Mwingira kama ifuatavyo:
‘That the plantiff's claim and assertion that he is a ‘holy spiritual leader, apostle and prophet' are matters whose varaciy and authenticity are only known to God and cannot be admitted or denied by the defendant but the defendant aver that the plantiff is a Founder and oversee of Efatha Ministry with a tittle of a Managinging director and also a trustee and chairman of its board of trustee of the Registered Trustee of Efatha ministry who in his personal capacity sexually assaulted and raped the Defendant's wife and defiled the defendant house on plot number 548 Kawe Beach Kinondoni DSM in despite of his claim for holiness as a spiritual leader .'


Kwa ufupi Mbuya anamtuhumu Mwingira kuwa amekuwa ana mbaka mkewe aitwaye Bertha Evarist Mbuya kwa nyakati tofauti tangia mwaka 2003 hadi alipotubu mwenyewe mwaka 2009.Maelezo yake yanaonyesha kuwa , Mbuya na Mkewe walijiunga na Kanisa la Efatha na kujitoa katika huduma hiyo kwa kuchangia michango mingi ikiwa ni pamoja na kutoa uwanja katika nyumba aliyojenga Mwingira.Mbuya anasema, mwaka 2009 mkewe( Bertha) alitubu kwake na kumwambia kuwa siku moja mwaka 2003 akiwa kazini ,yeye (mke) alizini na Nabii Josephati Mwingira ndani ya nyumba yao iliyopo karibu na nyumba ya Mwingira!!!

Bertha alimweleza Mbuya kuwa aliamua kutubu baada ya kupata ugonjwa mbaya uliomusumbua kwa muda wa miaka mitatu ambapo katika kumwomba Mungu alisikia sauti ikimwambia ili apone ni lazima atubu dhambi ya uzinzi kwa mumewe.
Baada ya kusikia hayo Mbuya na mkewe walikwenda kumukabili Nabii Josephati Mwingira na kumukuta yupo na Mkwewe (Elikunda Mwingira). Bertha aliweka wazi uzinzi aliofanya na Mwingira mbele ya kikao cha watu wane ambapo Mke wa Mwingira alikiri kusikia habari za uzinzi huo na Bertha alomba radhi kwa Elikunda (mke wa Mwingira) ambapo alimusamehe lakini Mwingira hakujibu chochote.
 
Si nasikia kapandishwa kizimbani na anatakiwa kupima DNA na UKIMWI duh apo patamu kweli kweli..
 
sasa yeye si nabii na mtume???
Mbona sasa anakula wake za watu wkt anajua fika kua ni kinyume na maamrisho?
Mm ni mshirikina nayy nabii anayatoa mapepo mabaya ikiwemo uchawi,
mm namtupia mapepo mabaya ya uchizi coz yy si kanianza kwa ubaya kunichukulia mke wangu?
Haya kama sasa yy ni nabii kweli kama anavosema ayatoe hayo mapepo tuone..!!
Msanii na mwizi wa sadaka tuh yule hana lolotee..!
Najua imekutouch coz ww ni nabii wakoo
samahan kaka,natoa hisia zangu tuh
i ddnt meant to make you cry..

Mkuu sifa za mitume ni kula wake za watu na kufanya uzinxi na watoto wadogo! Mwingira siyo wa kwanza, kuna yule aliyeanzisha dini ya fujo duniani ndiye kioja zaidi
 
Back
Top Bottom