Nabii na Mtume Josephat Mwingira awachana live viongozi.

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,646
68,598
1.Anasema ukimchezea yupo tayari kufia mikononi mwako
2.Awachana viongozi wanauza nchi kwa kulala 5* hotel na kupanda ndege tu
3.Awachana viongozi wanaolindwa wakati ndio hao wanauza nchi kwa vx,anasema ni wapumbavu tu.

Endeleen kufatilia TRENET Live mmuone.

Nawasilisha.
 
Yawezekana ana schizophrenia
Na dalili zote za ugonjwa huo zikiwemo delusions of grandiosity (anajiaminisha kuwa yeye ni mtume na ni nabii japo kuna kila ushahidi kuwa siyo kweli), auditory hallucinations (ati alishakutana na Yesu Kristo na hata Mungu mwenyewe live wakampa ujumbe huo anaoita 'kusudi'), visual hallucinations (huwa anamwona roho mtakatifu, Mungu, Yesu nk)! Anahitaji msaada. Lakini kizazi cha waliopotoka kimechagua kupotoka naye! Haiingii akilini kuwa mtu anayejiita 'nabii' anaweza kufanya ujambazi ule tuliouona kwenye TV dhidi ya watu ambao hata kesi mahakamani haijaisha, na bado hajioni mwenye kasoro. Kujaribu kuwafukuza watu kwenye eneo linalogombewa kwa kuchoma moto mali yao ni tabia ya kijambazi tu.
 
Tunafurahi kuona wanaojiita viongozi wa umma na kiroho wakisutana na kutajana mchana kweupe,ipo siku pia tutasikia ni nani huwa anakula nyama za watu kati yao ...hawa majambwazi wakubwa.
 
me akinilia mke wangu namwendea kwa kalumanzila tuh af tuone kama kweli anaweza toa mapepo ayatoe mapepo hayo,
namtia uchizi habari zenyewe za unabii zikomee hapo hapo
eboo..!!
 
King Kong III unachekesha sana hata nashindwa kukupatia jina linaloendana nawewe eti, una jema umekaa kiuchochezi zaidi.mie pia nimebahatika kusikiliza kipindi hicho live sikuona wapi amekose, ila wewe mjinga ambae dume likija kwako na kuomba kutembea na mkeo utamruhusu eti kwasababu ya uogo wako na umaskini + ujinga alafu unatoka nje unajiita kidume.

kipi cha uogo alichosema mikataba haikusainiwa hoteli uk au huna data, wangapi wahindi ndio wamekuwa mabosi wao kwa ajili ya ten % au uwajui nani kapelekea nchi yetu leo kuwa hapa tulipo. funguka uone mambo ya nchi hii tunataka mtu atakayesima na kusema ukweli bila woga iwe ni kwenye siasa, dini na hata katika jamii kama Dr. slaa acha ujinga ukuwe.

wewe tunajua una bifu na Mwingira nyama ..... fu


Yap ndio huyo huyo.
 
BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA AISEEE, DUWA LA KUKU HALIMPATI......................... TZ inasifika kwa ushikirikina na sio maendeleo vp nawe ni mmoja wapo na elimu uliyonayo pole mawazo mgando

me akinilia mke wangu namwendea kwa kalumanzila tuh af tuone kama kweli anaweza toa mapepo ayatoe mapepo hayo,
namtia uchizi habari zenyewe za unabii zikomee hapo hapo
eboo..!!
 
sasa yeye si nabii na mtume???
Mbona sasa anakula wake za watu wkt anajua fika kua ni kinyume na maamrisho?
Mm ni mshirikina nayy nabii anayatoa mapepo mabaya ikiwemo uchawi,
mm namtupia mapepo mabaya ya uchizi coz yy si kanianza kwa ubaya kunichukulia mke wangu?
Haya kama sasa yy ni nabii kweli kama anavosema ayatoe hayo mapepo tuone..!!
Msanii na mwizi wa sadaka tuh yule hana lolotee..!
Najua imekutouch coz ww ni nabii wakoo
samahan kaka,natoa hisia zangu tuh
i ddnt meant to make you cry..
 
1.Anasema ukimchezea yupo tayari kufia mikononi mwako
2.Awachana viongozi wanauza nchi kwa kulala 5* hotel na kupanda ndege tu
3.Awachana viongozi wanaolindwa wakati ndio hao wanauza nchi kwa vx,anasema ni wapumbavu tu.

Endeleen kufatilia TRENET Live mmuone.

Nawasilisha.

nchi imeuzwa na yeye amenunua sehemu....! yale mashamba ya nafko huko kanda za juu kusini si ameuziwa yeye kwa 800 millioni SIJUI ATAJENGA KANISA manake ni heka zaidi ya 3,000
 
Back
Top Bottom