Nabii gb malisa wa ukombozi ministries mwanza

EPORA

Member
Apr 8, 2012
83
16
Habari za usiku wadau,hope mpo fine,naomba kujuzwa kuhusu huyu nabii,na huduma yake manake nimezoea kumwona star tv.Hivi ana uhusiano na TB.JOSHUA WA NIGERIA manake utabiri wao unafanana na hata majina ya makanisa yanafanana pia
mfano:THE SYNOGOGUE CHURCH OF ALL NATION. -TB JOSHUA NIGERIA
2.UKOMBOZI MINISTRIES FOR ALL NATIONS-BG.MALISA TANZANIA
naomba kujuzwa naamini kuna waumin wake humu jamvini,nawasilisha!
 
Hata matapeli unawaita Nabii?hicho cheo cha unabii walipewa na nani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom