Unauza bidhaa aina moja tu ?
Tajataja na zingine basi !
Wengine tuna utajiri wa usingizi .
Mie nakopesha njozi. Unachagua mwenyewe ndoto tamu, chachu ama chungu.
Bora wewe ndiyo wa kufanya na mimi biashara !
Kwanza una kaulimi katamu kakauzia, kuliko huyu mtoa mada , yuko kibabebabe ilhali anauza vitu laiyni .
Sasa ndiyo nimejijibu kua ndiyo maana ulimnasa kiulaiyni yule braza anaekwenda na W mwishoni mwa jina lake.
Btw patianga mimi price ya hizo madrimz swit .
Sasa si na uchanguange kwanza ndipo nikupeane mapraisi zake?
Juu utatoanga matip, hata madiscount nitakupatianga mazee