'Naapa Mungu wangu' damu haitamwagika bure!

MARCKO

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
2,258
274
Mimi ni kijana mdogo lakini kwa muda mfupi nilioishi nimekariri kwamba DAMU haimwagiki ardhini buru! Italipwa tu kwa kipimo hichoicho. Mbunge anayewafungua raia macho kuachanishwa nyama kwa panga na wadhalimu. Ngoja!
 
What a statement? Pole mdogo wangu Magamba mwisho wao umefika, tutaingia street.
 
Nami nashiriki kiapo hicho!
Ni mwaka wangu wa 22 hapa duniani.
TUTALIPA KISASI NA NINAJUA MUNGU MWENYEZI YU UPANDE WETU!
Mimi ni kijana mdogo lakini kwa muda mfupi nilioishi nimekariri kwamba DAMU haimwagiki ardhini buru! Italipwa tu kwa kipimo hichoicho. Mbunge anayewafungua raia macho kuachanishwa nyama kwa panga na wadhalimu. Ngoja!
 
kesho nakuja mwanza. Siwezi kubali mbunge wangu . . . . ! Ngoja . . . .
 
Back
Top Bottom