Naanza rasmi kumsapoti Magufuli, Lowassa angetupoteza

Wewe kwa akili yako CDM wanaweza kuchukua Nchi? Kwa uwezo gani walionao wa kupewa Nchi !
Rais ni huyu hapa aliibiwa kura zake na ccm
lowassa..jpg

watanzania wanaimani na lowassa piga uwa.

swissme
 
After all is said and done Magufuli atakuja kueleweka tu and he will go down as the best president of our beautiful country. Transition kutoka kwenye ufisadi kuelekea uadilifu na taifa lenye maono kidogo inasumbua lakini nina imani kubwa sana kuwa tuko katika njia sahihi; na muda si mrefu haya makelele ya sympathizers wa mafisadi na vizalia vyao yatakoma. God Bless Tanzania!
 
Mbona hujatoa sababu, tueleze ni kwanini unasema MAGUFULI atatufaa na si LOWASA??
au unataka tu kutuaminisha hisho unachokiamini wewe hovyo bila ya sababu za kueleweka??
sisi tunasema Magufuli hatufai kwasababu hospitali hakuna dawa,
sasa na wewe unatuthibitishiaje kuwa anafaa??
 
Back
Top Bottom