Naanda kitabu wana JF nataka input zenu lakini pia nikipata inputs nazifanyia uchunzuzi

Lastname

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
921
296
Katika kuelekea ukombozi nataka kuanda kutabu ambacho kitawaelezea viongozi kuanzia ngazi ya ubunge mpaka urais, kauli tata walizowahi kuzitoa, maamuzi tata waliyowahi kuyatoa, michango yenye mlengo wa ukombozi na ile isiyo na mlengo wa ukombozi wa mtanzania maskini ili vitu kama hivyo vikae katika kumbukumbu mpaka vitukuu wao waje wasome na kujua babu zao walivyokuwa. Hii itawaondolea heshima katika jamii zao na hawatakuwa na nguvu ya kujivunia tena utajiri au uongozi walionao, ni psychological torture ambayo tunaweza anza nayo.
 
Kama makosa ya uandishi unaanzia hapahapa tena kwenye heading kweli hata huo uchunguzi utaeza ndugu
 
Kama makosa ya uandishi unaanzia hapahapa tena kwenye heading kweli hata huo uchunguzi utaeza ndugu

Mimi sio mwandishi ila nita engineer tu, kupata contents nzuri then professionals watamalizia kazi, usihofu.
 
Back
Top Bottom