"Naamini bustani yangu imepaliliwa"

Elizabeth Dominic

Platinum Member
Dec 7, 2007
4,555
3,649
Niko kwenye kamtihani kadogo, kuna ka binti ka dadangu kamekuja hapa home kwangu hasa mi niko bored kinoma am broke mambo ya DSTV na Star times kwishney kitambo, movie zote nimemaliza, kujisomea hakupandi. Binti katoka kaacha simu mi nikachukua simu nione hivi hii BBM ni kitu ipi, meseji ikaingia nimefungua bahati mbaya curiosity killed the cat jamani shabash! Meseji inasema "naamini bustani yangu imepaliliwa sitaki magugu nataka niweke mbegu bora" Hasa nikafanyeje haka katoto, sijui niwaambie wazazi wake si nitaonekana mmbea nahivi nimekiambia kinipige jeki maana kina vihela kiaina
 
duh, hebu kikalishe ukipe somo
kuna mimba za utotoni
kuna HIV
kuna magonjwa ya kisonono na kaswende
kuna herpatitis B
 
Nimemweleza kuwa mi si mama yake lakini wajibu wangu kama ma mdogo wake ni kumweleza ajihadhari kwani akijirahisisha hivo atakuja juta baadae na kuhusu magonjwa anajua kila kitu hizi raha za muda mfupi zitamcost and am sure afurahikii hata tendo lenyewe just kufuata mkumbo
 
Kuonekana mnoko kitugan banaa.
Kakalishe chini kaambie "dunia imevaa sket"
asipokuelewa 2mia hata kiboko.
 
Nawewe utampigaje mzinga na ushakaona katoto! Thats y kanakua big headed, eti kalishawahi kukupandishia and she's 15 yrs duuuh,. Wewe mtu mzima unakosa hata buku9 ya star times lakini hako unakokaona katoto kanajiunga bbm buku20000 kila mwezi, hehehehehe mkubwa mwenzio huyooo
 
Nawewe utampigaje mzinga na ushakaona katoto! Thats y kanakua big headed, eti kalishawahi kukupandishia and she's 15 yrs duuuh,. Wewe mtu mzima unakosa hata buku9 ya star times lakini hako unakokaona katoto kanajiunga bbm buku20000 kila mwezi, hehehehehe mkubwa mwenzio huyooo

Nakwambia! Mwezi umekaa vibaya. Lakini huyu mtoto ameharibiwa na wazaziye sababu anapewa atakacho, sasa mi nishamtumia mama yake meseji kumwahabarisha yaani huyu mamake ni dada yangu lakini kwenye malezi hamna kitu, ana watoto watatu wana visa hadi utachoka mwenyewe hiki ni kimoja tu mi naona watafunzwa na ulimwengu.
 
Kuonekana mnoko kitugan banaa.
Kakalishe chini kaambie "dunia imevaa sket"
asipokuelewa 2mia hata kiboko.

Mie mamdogo kamwili changu mwenyewe kazuri utadhani kigori wa miaka 18 nikisimama na huyo binti ye anaoneka jimama sijui ndio hiyo mijunk food maana wanakuwa haraka ndio maana wanapata jeuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom