Naamini bunge letu litakuwa na heshima baada ya 2015, siyo kama hivi (picha)!

mpk

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
3,115
3,862
10152571_582366435202111_3980542290475830188_n.jpg
 
Hilo ni bunge lilikosa na kupoteza kabisa dira na mtazamo. Hata nchi majirani wanashangaa na kustaajabia kwani tumegeuka kuwa taifa lililokosa utashi, umakini na maono.
 
Hilo ni bunge lilikosa na kupoteza kabisa dira na mtazamo. Hata nchi majirani wanashangaa na kustaajabia kwani tumegeuka kuwa taifa lililokosa utashi, umakini na maono.

Watu wanaweza kuona haya kama ya kawaida lakini yanaweza kuonyesha how disorganized we are!
 
Hilo ni bunge lilikosa na kupoteza kabisa dira na mtazamo. Hata nchi majirani wanashangaa na kustaajabia kwani tumegeuka kuwa taifa lililokosa utashi, umakini na maono.

haya yote yameaababishwa na baba riz1.
 
Zile katuni zilizochorwa kenya kuhusu bunge hili hapa ndio tumeona majibu yake.

Tanzania..Tanzania.. naipenda kwa moyo wote
 
Zilikosekana ngoma tu lakini disco lilisakatwa kwenye ukumbi wa bunge tukufu
 
Cha kushangaza zaidi hao viongozi waliopo katika majukwaa makuu wanampigia makofi na kumshangilia, hapo umekosekana mdundo wa ngoma tu lakini tungeshuhudia Baikoko, Kangamoko na Kigodoro bila chenga!
 
Fikiria ndio mdingi wako daaaah! Noma kweli ila sishangai ndio anawaburudisha waliompa ubunge sababu hapo kichwani napo ni ziroooo....... Hata kile cha lasaba hana, haifai hata kucheka sababu ni huruma sana kwa wananchi anaowawakilisha.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom