Naambiwa ana mimba yangu

Fidel mie hapa naona tatizo ni wewe, kisa cha kuwa na mtu ambae huna future nae ni nini? Kama shida yako ni uroda mbona machangu kibao, huyu dada ulikuwa nae kwa ajili ya dezo au? Sijui huyu dada kama alikuwa anajua kuwa anatumiwa nae akan'gan'gania au ulikuwa unamghilibu kwa ahadi hewa.

Kwa raha yenu nyie wawili sasa mnaleta kiumbe duniani kisicho na hatia na future yake imeshaoneka itakuwa na mgogoro.

All in all please choose life over abortion.
Mndee "kama shida yako ni ........ mbona machangu wapo?" mmmmhhhh huu ushauri mbona umepinda Mkuu?
 
Wakuu naona watu mnabadilisha theme nzima ya issue ya Fidel,
Sijaona mtu/mtaalamu aliyeweza kutuelezea kiundani how this can happen.
Naomba ufafanuzi kama hili kama nilivyo bold linaweza kuwa possible. Kuna jamaa yangu naye lilimtokea na mtoto inasemekana ni wake kabisa. Lakini swali kibiologia IS IT POSSIBLE? Hili ndilo swali kuu la Fidel kwamba mimba imekujaje kujaje wkt amemaliza hedhi siku ya 4 na siku ya 5 akafanya vitu????

Hata tukisema huyu dada alikuwa na mimba ya mtu mwingine how comes akawa kwenye hedhi???

Ni vyema tukapata majibu ya hayo maswali (kwani naona utata kubwa) kabla ya kuingia undani wa jamaa sijui kauza mechi, kafanya hili na lile ooh laaaa etc etc.
Hivi wadau hamjawahi kusikia mwanamke anakuwa na hedhi feki tu ili amzuge mwanaume asimpe uroda kumbe ana mipango yake?
 
Mkuu baada ya kupewa soo ndo hivyo tena nimezima fegi kabisa.

Kosa kubwa mkuu. Walume watakuwa wanajimegea hivi sasa. DNA ikijaonyesha ni mwanao mtarudiana tena. Sasa utakula makombo. Cha msingi endelea kumega mpaka ajifungue. DNA ikileta majibu ndo ujue moja. Kama mazuri unaoa, kama mabaya unamtosa. Au mkuu una wife tayari?
 
Kaka kama ulifikia hatua ya kucheza kavu nyie mnapendana kwa dhati kabisa sasa BP ya nini wakati unajua ukipanda mahindi unavuna mahindi na sio maharage?

kuna baadhi ya kina mama huwa wanapata ujauzito bila kujijua na akawa anapata hedhi kama kawaida kwa ile miezi ya mwanzoni wengine hupata ahata mimba ikifikia miezi 4 ndipo huacha kupata hedhi. Ikiwa unawasiwasi basi nenda kafanye utrasound utajua mimba ilitunga lini nawe utaangalia ktk kumbukumbuzako kama hiyo siku mlimegana.
 
Hii inaweza wasaidia watu wengi angalia mzunguko huu na upime mwenyewe namna mlivyokutana tarehe zenye gray ndo hedhi tarehe nyekundu ndo za hatari nimeandika in series wewe utaangalia tarehe yoyote aliyoanza hedhi hesabu tu itakupa jibu kama mimba ni yako au la,pia kuna mabadiliko katika siku zao hayo pia yanaweza sababisha mimba japo mlikutana siku si za hatari lakini hedhi yake ikabadilika tarehe.
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28
 
Wakuu naona watu mnabadilisha theme nzima ya issue ya Fidel,
Sijaona mtu/mtaalamu aliyeweza kutuelezea kiundani how this can happen.
Naomba ufafanuzi kama hili kama nilivyo bold linaweza kuwa possible. Kuna jamaa yangu naye lilimtokea na mtoto inasemekana ni wake kabisa. Lakini swali kibiologia IS IT POSSIBLE? Hili ndilo swali kuu la Fidel kwamba mimba imekujaje kujaje wkt amemaliza hedhi siku ya 4 na siku ya 5 akafanya vitu????

Hata tukisema huyu dada alikuwa na mimba ya mtu mwingine how comes akawa kwenye hedhi???

Ni vyema tukapata majibu ya hayo maswali (kwani naona utata kubwa) kabla ya kuingia undani wa jamaa sijui kauza mechi, kafanya hili na lile ooh laaaa etc etc.

KunguruMweupe alitoa somo zuri sana kuhusu mambo haya, Mkuu Fidel kutokana na somo zuri la Kungurumweupe kwenye mada ya siku ya kupata mimba inaonekana cycle ya demu wako ni siku 20 ie ukichukua 20 ukitoa 15 unapata 5 ambayo ni siku posibo kwa mwanamke mwenye 20 days cycle kupata Mimba
 
Kama mazuri unaoa, kama mabaya unamtosa. Au mkuu una wife tayari?

Mkuu yule sio type ya kuoa hata nikimuoa naweza nyanyasika au yeye akanyanyasika ni mzuri kwa kumega tu sifa za kuwa mke ndani hana.
 
Hii inaweza wasaidia watu wengi angalia mzunguko huu na upime mwenyewe namna mlivyokutana tarehe zenye gray ndo hedhi tarehe nyekundu ndo za hatari nimeandika in series wewe utaangalia tarehe yoyote aliyoanza hedhi hesabu tu itakupa jibu kama mimba ni yako au la,pia kuna mabadiliko katika siku zao hayo pia yanaweza sababisha mimba japo mlikutana siku si za hatari lakini hedhi yake ikabadilika tarehe.
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28

There is a big point here. Tena ukichukulia kwamba sperms can survive up to three days. So posible kabisa kwamba jamaa amefanya creation. Good stuff!
 
Jirani Fidel pole sana,wasichana wa siku hizi wanaangalia Financial stability ya mtu halafu unabwagiwa mzigo,Inawezekana ana kaserengeti boys kake somewhere kamempa ujauzito anakuletea wawe umsaidie serengeti wake kuitoa,pia inawezekana hana mimba hivyo anakubambikia kwani lazima utampa hela ya kwenda kuutoa huo ujauzito,so take care jirani,mjini hapa!!!

Unachosema ni kweli kabisa, hawa madada ndio style yao ya kutoka katika
maisha wanadhani, wanatupiga sana na issue ambazo si zetu ila mladi tu wakijua uko fresh na mpunga unao basi ndio balaa!!
 
Pia yawezekana ana tatizo la double ovulation kwa baadhi ya miezi. Cha msingi Fidel80, subiri kachanga ketu kazaliwe halafu wahini pale kwa mkemia mkuu kwa DNA!!! Siku hizi pesa yako tu, kila kitu kipo!!! na inatoa madukuduku mengi.
wakati anangoja kachanga kazaliwe huku anatunza mimba au?
 
Hapa Mndee wote tulikuwa tuna enjoy uroda lakini unapo sema tatizo ni mm unakosea. Na anajua kuwa swala letu zima kuonana ni uroda tu full kumega sasa tatizo ni kwamba aliona siku zake baada ya siku 4 hedhi ikaisha then siku ya 5 mm nikamega leo ananiambia ana mimba ni kweli mimba inaweza kutungwa kwa njia hiyo?


Fidel kama alivyoeleza mmoja wetu hapa una bahati kuwa umepewa taarifa ya mimba na sio UKIMWI. It is about time you rethink your attitude towards women, sex and relationships.
 
Chonde usimfanye kitu mbaya huyo binti,msaidie ajifungue salama,tunza mtoto mpaka akiwa mkubwa.Kama si wako basi,usijeshangaa anakuja kuwa Obama fulani kule Njombe, teheeeeeee

Fidel,

Maneno hayo mazito poti......we need ''the who may be our Obama'' kule Geneva ya Bongo(Njombe)!
 
hebu kubali kulea hiyo mimba, itakuwa ya kwako tu.Wanaume bwana mnapokuwa mnafanya mnajisikia raha, mazao yakija mnaanza kuwa na mashaka.Tena inabidi umuoe kabisaaaa huyo binti.
 
There is a big point here. Tena ukichukulia kwamba sperms can survive up to three days. So posible kabisa kwamba jamaa amefanya creation. Good stuff!

Or may Be More!!!,

B.
 
Last edited:
Hivi wewe Fidel umeoa au kazi yako ndiyo hiyo hiyo ya kumega? Nashauri vipimo vya DNA vitumike kubaini ukweli na ikigundulika ni kweli mtoto atakuwa wako itabidi mshauriane mkate kabisa leseni (mfunge ndoa na huyohuyo)
 
Inabidi tuelewe kuwa mwili wa mwanamke ni very complex, au sijui niseme miili yetu "wanadamu" ni very very complex machines which needs very good understanding to better serve them,

Tuelewe HEDHI:

Nini Maana ya HEDHI/MS - Hedhi ni kitendo kinachosababishwa na uvunjikaji wa ukuta unaojenga kizazi cha mwanamke pasipotokea fertilization "hapa kiswahili sijui inaitwaje"(Fertilization hutokea pale ambapo Sperm Ya Kiume Inakutana na Yai La Kike na kutengeneza an EMBRYO), na hii mara nyingi huwa hutokea mara moja kwa mwezi katika maisha ya mwanmke mpaka anapofikia Uzeeni ndio inaacha "Menopause". Katika siku zote za HEDHI wanawake wengi huwa wana-pata maumivu makali tumboni na huwa wana-mood swings. kemikali za mwili wa mwanamke huwa juu na mwili wake huwa wa u-oto-oto "Light Fever". Kwa wanawake wengi hizi huwa ni siku Saba za Maumivu "au wanaita HELL".
Kwa mfano:
HEDHI ya mwanamke inaweza ikasababishwa na yeye "Mwanamke" kuwa too Excited or Depressed "Habari, Kushtuliwa, Furaha, Hasira etc" na hii huwa ndio Mbaya zaidi, mimi huwa naiita "Dead Mans Chest", Kwani kemikali ambazo ziko ndani ya mwili wa mwanamke "Luteinizing Hormone, Follicle Stimulating Hormone,Estrogen, Progesterone, Estradiol, Temperature, etc" hubadilika ghafla na kusababisha kuvunjika kwa wall of the uterus, hapa saa zingine kama mwanamke anamimba unaweza ikasababisha Mimba Kutoka Pia, Kuvunjika kwa ukuta wa uterus husababisha maumivu makali na damu nyingi hupotea/kutoka ambayo huambatana na fine walls "Endothelium" za uterus"kwani ndio HEDHI yenyewe Hii". Hii inaweza ikatokea once, twice or even more depending on the physical composition za huyo mwanamke mwenyewe.

Personally, I know someone ambae hedhi yake ni siku mbili hadi tatu, yaani nne the most, na mwingine Hedhi yake huwa ni Week au Week and a half, sasa hapa unaweza ona kuwa wanawake wameumbwa tofauti tofauti, na umbile la mwanamke halielezei chochote juu ya lini hedhi zitaanza kutoka, kwani chemical composition ndio determining factor ya hivi vitu.
Another thing,
Mwanamke hana Control Over Hizi HEDHI, yaani hawezi sema "Leo sivyo, Acha nianze Kesho" However Kuna vitu Kama "Lady Calculator/Timer" which can help You/Her to Better Understand Her Cycles which can better serve your SEX desires and Help you from UNWANTED/UNPLANNED PREGNANCIES.
Hapo Chini Nimekuambatanishia, Cycle Calender Nyingine, Hii Pia Iwe Kichwani Mwako, Better Understand it Than Later being sorry, and Complain of the Pregnancy, Kama Hujaielewa ni PM nikueleze Zaidi:

Menstrual%20Cycle.jpg


Kama haiwezekani, Why Dont you use contraceptives? Hii issue ndugu yangu Naona itakuelemea, the more i write is the more i find out that Baby Might Be YOURS, Ila Sio Lazima iwe hivyo. Omba mungu awe wako na kama sio wako, basi vyema next time jiulize mara mbili mbili kama hujamwagia ndani!...

Conclusion:
Ni vyema kama ukatambua siku za period za mwanamke wako, then mkapanga kalenda kujua mi lini inaanza na lini inaisha. Kwenye kalenda za HEDHI, there are only 28-30Days ambazo binti atakuwa kwenye cycles, na hizi cycles only 3-5 days are safe for you to have unprotected sex.

Kwa mfano kama mkeo/Mpenzi wako ana aanza cycle kuanzia tarehe 20/8 basi mpaka tarehe 25-6 hapo utakuwa safe, lakini baada ya hapo lazima uvae BUTI au u-cum nje, be careful tho, uki-cum nje sio tena unachomeka hapo hapo, hii inabidi utumie common sense. The Rest mpaka siku ya 30 utumie condom(s), It is safe and creates peace of mind after you are done.

Remember condom do not prevent you from STDs, na Broken Condom can Result to a Pregnant WOMAN!!!!! Be careful OUT There.

GooDLucK one More Time,
B.
 
Fidel,

Maneno hayo mazito poti......we need ''the who may be our Obama'' kule Geneva ya Bongo(Njombe)!

Ndo hapo mkuu home boy dah sasa sijui atatoka Obama au Asha Rose Migiro ndo hapo sasa.
 
hivi huyu dada kama ilikuwa ni pass time kwa nini unapiga kavukavu hata kama mlipima.aaah amekulengesha sasa ulinywe si ulilikoroga
 
Back
Top Bottom