"NAACHA UDAKTARI!!! Naenda kuomba ajira Tanesco..."

We unadhani biashara ni wote wanaweza kuimudu pia na hiyo capital imekusanywa ikakusanyika na huu mfumuko wa bei!

Nilishindwa kumuelewa Foundation kabisa!

Unaweza kudhani anafikiri kwa urefu wa pua..
 
Acha mapema maana kadri unavyochelewa utapata msongo wa mawazi usiombe ukawa daktari tena kwenye hospitali zilizo chini ya manispaa madiwani wanakata kata vitu bila kujua umuhimu wake ukiorder gauze wao wanasema 'punguza haya matambara wanataka ya nini kila siku'

Mkuu unakumbuka MSD hakukuwa na gauze kari miezi 6! Eti zilizopo (by then)hazifai kwa "mapasuaji".. Sasa ziilingizwa vipi..labda mambo ya Blandina Nyoni..
Yaani hata umchague nani.. Sisi kazi yetu,ndo hivyo..
 
Ndo matatizo ya kuwapa majukumu ya uamuzi watu wasio ujuzi, sijui wanapoyakata wanawaza nini, na ndo hao hao watakaolalamika kuwa madaktari hawahudumii vizuri....

Acha mapema maana kadri unavyochelewa utapata msongo wa mawazi usiombe ukawa daktari tena kwenye hospitali zilizo chini ya manispaa madiwani wanakata kata vitu bila kujua umuhimu wake ukiorder gauze wao wanasema 'punguza haya matambara wanataka ya nini kila siku'
 
aisee ukipata unichongee na miye angalau niwe mkata umeme

Ha ha ha! Mkuu na mie ukifika huko unikumbuke niache kuwaona neonates wakipoteza maisha kisa humidified oxygen concetraters zinashindwa kufanya kazi umeme ukikata
 
Ha ha ha! Mkuu na mie ukifika huko unikumbuke niache kuwaona neonates wakipoteza maisha kisa humidified oxygen concetraters zinashindwa kufanya kazi umeme ukikata

yaani mijitu haithamini kabisa hii profession.. Wakati dhamana tunayobeba ni ya muhimu zaidi kuliko dhamana za kisiasa!
 
Jiajiri ndugu. Baki hapohapo ila anza kamradi kako. Unaweza kwenda huko ukaishia kuwa frustated. Kwenye mashirika wanaotanua ni maboss. Kama utakuwa boss nenda.
-Huku kwetu hatupewi mishahara minono...

-Huku kwetu hatupewi 'incentives'....

-Huku kwetu neno "WITO" linatumika kama nyundo ya kututwanga... So wengi tunalichukia ...

-Huku kwetu kazi nyingi ni za kuhatarisha usalama na uhai wetu wenyewe

Naomba kuwasilisha...
 
Jiajiri ndugu. Baki hapohapo ila anza kamradi kako. Unaweza kwenda huko ukaishia kuwa frustated. Kwenye mashirika wanaotanua ni maboss. Kama utakuwa boss nenda.

Sitaki mkuu..

Nataka Tanesco!
 
Back
Top Bottom