Elections 2010 Na yule Mnajimu.......

MOMO

Member
Feb 10, 2008
83
3
Can't help but laugh nikikumbuka yule mnajimu aliyeliweka taifa kwenye hali tete kuhusiana na uchaguzi huu...nadhani hapa kuna Kesi nzuri tu kwa watu wenye profession yao:rockon:....
 
Mh! zamani nilikuwa naogopa kumsema vibaya kwani kuna swahiba wangu alinambia ukimsema automatically unazulika.
Lakini sasa hivi hata simwogopi. kigagula mkubwayule.
 
alikuwa anatafuta puplicity washkaji,si unajua biashara matangazo,worse he proved failure.:nono:
 
Well:Well:Well

Chances za kutokea VURUGU bado ni 80% probability!

Zanzibar TETE as of now!
 
Aliwahi kunukuliwa:
1. Hakuna Uchaguzi mwaka huu......
2. Kuna mgombea Urais atakufa ikibidi hata uchaguzi kuahirishwa
3. Atakayeshindana na Kikwe atakufa kifo cha ghafla
4.Kikwe amedondoka kutokana na nguvu za giza toka kwa wabaya wake
5. Ninamwekea Kikwe ulinzi usioonekana kwa macho, na ole wake mtu akijaribu kumdhuru, cha moto atakiona

As of late, the guy amejificha sana, hebu mkurupueni toka huko pangoni alipo aje kujibu matamshi yake haya???????????!!!!!!!
 
Back
Top Bottom