na wewe umeskia hii? eti kota za magomeni moja imeshindikana kuvunjwa, mvunjaji haioni!!!

Kimsingi kuna tofauti?
Ninavoelewa mimi Ushirikina cannot exist if hakuna dini. It is a set of spiritual beliefs that are not in line with the acceptance of ONE GOD, and which attribute power to a set of spirit/practices/object, that are not inline with the religious trend categorizing them as such.
Kwa hiyo, waislam wanaweza kuona kama wakristo kuvaa msalaba au kunywa maji ya baraka ni ushirikina, na wakristo wakaona kama maji ya zamzam au kumsalia Mtume ni shirk pia.
So yes, DINI sio USHIRIKINA, but the later depends on the first.
 
Waafrika ndivyo tulivyo, tukishindwa kueleza kitu tunakimbilia kusema kuwa ni uchawi, this could be another area to be researched-kwamba umeme hauwezi kupita juu ya msalaba, tazama hata kwenye kanisa la kakobe umeme umeshindwa kupita. Cant we explain this from the physics point of view?.
4.jpg

Physical forces of nature are sometimes no match to spiritual forces of nature!!!
 
Dude, You are free to carry out a research. Aim higher, take it further.... hutokuwa ndivyo ulivyo tena!!
 
Physical forces of nature are sometimes no match to spiritual forces of nature!!!

There is no such things as spiritual forces of nature, you can talk about natural forces (what you cal physical) or supernatural forces (what you call spiritual). And spiritual forces/ supernatural forces are either natural/ physical forces we do not yet understand fully or pure myths.
 
Ninavoelewa mimi Ushirikina cannot exist if hakuna dini. It is a set of spiritual beliefs that are not in line with the acceptance of ONE GOD, and which attribute power to a set of spirit/practices/object, that are not inline with the religious trend categorizing them as such.
Kwa hiyo, waislam wanaweza kuona kama wakristo kuvaa msalaba au kunywa maji ya baraka ni ushirikina, na wakristo wakaona kama maji ya zamzam au kumsalia Mtume ni shirk pia.
So yes, DINI sio USHIRIKINA, but the later depends on the first.

Religion and ushirikina are both beliefs. The difference is just in the details. Fundamentally they are the same.
 
Ninavoelewa mimi Ushirikina cannot exist if hakuna dini. It is a set of spiritual beliefs that are not in line with the acceptance of ONE GOD, and which attribute power to a set of spirit/practices/object, that are not inline with the religious trend categorizing them as such.
Kwa hiyo, waislam wanaweza kuona kama wakristo kuvaa msalaba au kunywa maji ya baraka ni ushirikina, na wakristo wakaona kama maji ya zamzam au kumsalia Mtume ni shirk pia.
So yes, DINI sio USHIRIKINA, but the later depends on the first.

Ushirikina and belief in god (especially the personal/ Abrahamic godhead) are alike in that both are beliefs in supernatural powers. Belief in god is a mere "cultured" ushirikina because it has the stamp of social approval, but deep down belief in god is also ushirikina of sorts, disguised in a morality code and some sort of schizophrenic galantry.
 
There is no such things as spiritual forces of nature, you can talk about natural forces (what you cal physical) or supernatural forces (what you call spiritual). And spiritual forces/ supernatural forces are either natural/ physical forces we do not yet understand fully or pure myths.

Unene na mhanhya na mitunga, u bebeh lemaga duhu!!!!
 
Ushirikina and belief in god (especially the personal/ Abrahamic godhead) are alike in that both are beliefs in supernatural powers. Belief in god is a mere "cultured" ushirikina because it has the stamp of social approval, but deep down belief in god is also ushirikina of sorts, disguised in a morality code and some sort of schizophrenic galantry.

You jokes Kiranga, you do!!! lol
 
You jokes Kiranga, you do!!! lol

Dead serious, why would you think the characterization of religion as "schizophrenic gallantry" to be comic?

Have you read the bible or the quran?

Mara mungu mzuri sana anasamehe watu, mara anawafutilia mbali kwa kuwachoma moto etc etc.
 
Yaani ndo nimefika nyumbani sasa ivi kutoka kazini, nilikuwa kwenye daladala ziendazo mabibo ambazo wakati mwengine hukimbia foleni kwa kuzungukia huu upande wa tanesco. Ukipita pale ni kweli utaona kuna kajumba kamoja tu kamebaki, kwengine kote ni uwanja, hapo ndo kalianza kamjadala kasiko rasmi kama kawaida ya daladala. Eti mwendesha lile katapila akifika kwenhye hiyo nyumba haoni kitu cha kuvunja! Nimebaki nashangaa tu sielewi kama ni kweli. ila ukichungulia kwenye daladala basi utakaona hako ka kota kamebaki peke yake! umeiskia na wewe?

Hebu tuwekee picha kwanza
 
Back
Top Bottom