Na wanaume tuombe hili ......

Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,533
263
Ninaomba facilities za DNA test zifikishwe kwenye vituo vya angaza na mahospitalini, na sharti la kupitia mahakamani liondolewe...! Hata basi kwa vipimo vya siku zijazo tu.....
 
teh teh wajanja mmnejanjaluiwa?
DNA ya nini bwana?asi mnajiamini sana nyinyi...ao mnaowaonaga wanyonge wanaweza kuwatenda ubaya mkubwwa kias icho mpk ukimbilie kwa DNA...
Ahhhh njaaaa inauma..minaenda:car:
 
teh teh wajanja mmnejanjaluiwa?
DNA ya nini bwana?asi mnajiamini sana nyinyi...ao mnaowaonaga wanyonge wanaweza kuwatenda ubaya mkubwwa kias icho mpk ukimbilie kwa DNA..
Ahhhh njaaaa inauma..minaenda:car:


my wife DNA muhimu na lazima
 
teh teh wajanja mmnejanjaluiwa?
DNA ya nini bwana?asi mnajiamini sana nyinyi...ao mnaowaonaga wanyonge wanaweza kuwatenda ubaya mkubwwa kias icho mpk ukimbilie kwa DNA...
Ahhhh njaaaa inauma..minaenda:car:
Kwani si tunadai tu kama katiba mpya? Hii hoja lazima niipeleke kwenye katiba ijayo.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom