Na wanaume hawapendi wanawake wa aina gani?

mi mwanaume MLEVI, sitaki hata kumsikia, nitafurahi nikipata anayekojoa kitandani(kikojozi) kuliko mlevi
 
Siku nyingi huwa nasikia malalamiko mengi kwa wadada wakisema mwanaume akiwa hivi au vile simtaki.

Haya na sisi wanaume tutoe list zetu kuhusu wanawake ambao hututaki tuhusike nao kiurafiki.

Za kwangu:

Mwanamke asiyejua kupika.
Mwanamke asiyekusalimu
Anayependa kujionyesha anajua zaidi kuliko wewe
Anayefanya makosa lakini hakubali makosa yake
Anayetaka ufanane na bwana fulani.

Nitaendelea siku zijazo.

.......hapo kwenye red hapo sio sawa kabisa, inaelekea wewe ni mmojawapo ya wanaume wabishi.........unajifanya kila kitu unajua hutaki hata kumsikiliza mkeo.......mwishoni unachemsha. Sasa kama mkeo anajua kuliko wewe kuna ubaya gani?
 
Tunafanana isipokuwa kwenye jambo moja tu! Mimi sina tatizo na mwanamke asiyejua kupika.
 
I would love to cook for a woman one day specially my wife if i am married, hata kama sijaoa bado pia i would love to do that tukiwa bado kwenye uchumba.
 
Siku nyingi huwa nasikia malalamiko mengi kwa wadada wakisema mwanaume akiwa hivi au vile simtaki.

Haya na sisi wanaume tutoe list zetu kuhusu wanawake ambao hututaki tuhusike nao kiurafiki
Za kwangu:

Mwanamke asiyejua kupika.
Mwanamke asiyekusalimu
Anayependa kujionyesha anajua zaidi kuliko wewe
Anayefanya makosa lakini hakubali makosa yake
Anayetaka ufanane na bwana fulani.

Nitaendelea siku zijazo.

asiyejua kushukuru hata umtendee jambo zuri kiasi gani
 
Siku nyingi huwa nasikia malalamiko mengi kwa wadada wakisema mwanaume akiwa hivi au vile simtaki.

Haya na sisi wanaume tutoe list zetu kuhusu wanawake ambao hututaki tuhusike nao kiurafiki.

Za kwangu:

Mwanamke asiyejua kupika.
Mwanamke asiyekusalimu
Anayependa kujionyesha anajua zaidi kuliko wewe
Anayefanya makosa lakini hakubali makosa yake
Anayetaka ufanane na bwana fulani.

Nitaendelea siku zijazo.

Hiyo naona unatafuta mfanyakazi
 
mi mwanaume MLEVI, sitaki hata kumsikia, nitafurahi nikipata anayekojoa kitandani(kikojozi) kuliko mlevi
Mzuanda una hasira na mlevi wewe ina maana yule wako hajaacha 2 kupombeka?binafc simpendi anaenipigia cm kila mara na anaenuka mdomo.
 
Sipendi mwanaume anayependa sifa na kujionyesha ni mwema kwa watu wa nje, kuliko ndani. Nje kicheko meno 33. Ndani bubu na gubu.
 
Darwin, Nashindwa kuchangia, maana sijafahamu kama tunaongelea wale wanaoishi kama mke na mume au prospective relations maana nasikia wengine wanasema asiyefahamu kupika au anayesema amechoka na kugeukia upande mwingine. Any way mie kwa utafiti wangu usio rasmi wakaka wanawaogopa sana wadada wanaoendekeza shida yaani wanaowafanya wakaka atm. Amini sio tu kwamba labda mkaka hana hata kama ana mambo safi lakini havutiwi na kuchomolewa na kuelezewa shida zinazohitaji pesa wakati wote.
 
Siku nyingi huwa nasikia malalamiko mengi kwa wadada wakisema mwanaume akiwa hivi au vile simtaki.

Haya na sisi wanaume tutoe list zetu kuhusu wanawake ambao hututaki tuhusike nao kiurafiki.

Za kwangu:

Mwanamke asiyejua kupika.
Mwanamke asiyekusalimu
Anayependa kujionyesha anajua zaidi kuliko wewe
Anayefanya makosa lakini hakubali makosa yake
Anayetaka ufanane na bwana fulani.

Nitaendelea siku zijazo.


Asiyejuwa kupika amekulia dunia gani huyo? Kwa hiyo kila siku ni kwenda kula nje tu au? Na mimi wa hivyo hapana. Hata mtoto wangu wa kiume anajifunza masuala ya jikoni iweje mtoto wa kike? Ndo hatari hiyo ya kuwa na msaidizi wa kazi nyumbani mtoto wako wa kike hataki kuingia jikoni, anataka afuliwe nguo, kuoshewa vyombo nk. Mwisho wake ndo challenge hizo katika maisha yake.

Si vema kwa mtu yeyote hasa katika mapenzi kutaka ufanane na mtu fulani. Kama ni tabia mbaya inakukela mwambia mwenzi wako aiache hiyo tabia na si lazima kumwambia kwanini asiwe kama John au kwa nini asiwe kama Neema kama ni kwa mdada. This freaks out most of partners (me included).
 
About Women Who Are To Be Held in Contempt

Know, O Vizir (to whom God be merciful), that women differ in their natural dispositions: there are women who are worthy of all praise; and there are, on the other hand, women who only merit contempt.

The woman who merits the contempt of men is ugly and garrulous; her hair is woolly, her forehead projecting, her eyes are small and blear, her nose is enormous, the lips lead-coloured, the mouth large, the cheeks wrinkled and she shows gaps in her teeth; her cheekbones shine purple, and she sports bristles on her chin; her head sits on a meagre neck, with very much developed tendons; her shoulders are contracted and her chest is narrow, with flabby pendulous breasts, and her belly is like an empty leather-bottle, with the navel standing out like a heap of stones; her flanks are shaped like arcades; the bones of her spinal column may be counted; there is no flesh upon her croup; her vulva is large and cold.

Finally, such a woman has large knees and feet, big hands and emaciated legs.

A woman with such blemishes can give no pleasure to men in general, and least of all to him who is her husband or who enjoys her favours.

The man who approaches a woman like that with his member in erection will find it presently soft and relaxed, as though he was only close to a beast of burden. May God keep us from a woman of that description!

Contemptible likewise is the woman who is constantly laughing out; for, as it was said by an author, 'If you see a woman who is always laughing, fond of gaming and jesting, always ruling to her neighbours, meddling with matters that are no concern of hers, plaguing her husband with constant complaints, leaguing herself with other women against him, playing the grand lady, accepting gifts from everybody, know that that woman is a ***** without shame.'

And again to be despised is the woman of a sombre, frowning nature, and one who is prolific in talk; the woman who is light-headed in her relations with men, or contentious, or fond of tittle-tattle and unable to keep her husband's secrets, or who is malicious. The woman of a malicious nature talks only to tell lies; if she makes a promise she does so only to break it, and if anybody confides in her, she betrays him; she is debauched, thievish, a scold, coarse and violent; she cannot give good advice; she is always occupied with the affairs of other people, and with such as bring harm, and is always on the watch for frivolous news; she is fond of repose, but not of work; she uses unbecoming words in addressing a Mussulman, even to her husband; invectives are always at her tongue's end; she exhales a bad odour which infects you, and sticks to you even after you have left her.

And not less contemptible is she who talks to no purpose, who is a hypocrite and does no good act; she, who, when her husband asks her to fulfil the conjugal office, refuses to listen to his demand; the woman who does not assist her husband in his affairs; and finally, she who fatigues him with unceasing complaints and tears.

A woman of that sort, seeing her husband irritated or in trouble does not share his affliction; on the contrary, she laughs and jests all the more, and does not try to drive away his ill-humour by endearments. She is more prodigal with her person to other men than to her husband; it is not for his sake that she adorns herself, and it is not to please him that she tries to look well. Far from that; with him she is very untidy, and does not mind letting him see things and habits about her person which must be repugnant to him. Lastly, she never uses either atsmed nor souak.

No happiness can be hoped for a man with such a wife. God keep us from such a one!

Source: The Perfumed Garden
 
*Kwahiyo mimi natakiwa kua mfanyakazi na mke pia? *We umeanza kumsalimia vizuri hivyo naye akaacha kujibu vizuri? *Kwahiyo kama nilimkuta hachani nywele..boxer moja wiki..mlevi haswa..mgomvi bado nimwache tu?
Yaleyale niliyosema mwanzo, wanawake wabishi wakila jambo nani kakuambia uwe mfanyakazi na mke pia?

Uncle wangu mswahili 100% nakaoa mswahili mwenzake 100%
Amemuwekea mke wake mfanyakazi, washing machine,dishwasher and so on.
Siku moja aunt zangu wawili kutoka Europe ambao ni 100% caucasian tulienda kumtembelea uncle kwa chakula cha jioni.
Ndani tukamkuta msichana wa kazi akihangaika kila kitu ili wageni wapate chakula kizuri. Aunt zangu[Caucasian] wakaenda jikoni wakamuambia tukusaidie? Mke wa uncle akasema hapana msiende kusaidia Mwamvua ataweza mwenyewe.
Mwamvua katayarisha kila kitu chakula mezani, wakati wa chakula mke wa Uncle akasema endeleeni nakula mimi naendelea kuangalia my favo soap tv serie.
Aunti zangu walikubali kwa shingo upande lakini tukaamua kuendelea kula.
Tunamaliza kula Mwamvua akaja kuchukua vyombo vyote kuweka kwenye dishwasher lakini hakuweka machine on kwasababu mke wa Uncle bado hajakula na vyombo vyake vinatakiwa pia kuwekwa kwenye dishwasher.

Soap Tv serie ikaisha, mke wa Uncle akaja kula. wakati akila Mwamvua alikua anahangaika kupiga pasi nguo alizotoa kwenye machine. kamaliza tu eti ameshindwa kuamka kuweka two plates kwenye
dishwasher nakuiweka on akaanza kumuita Mwamvua aweke on.
Aunt zangu [caucasian] kuona hali ile iliwakera sana nakuaga kwamba wanaondoka.
Uncle akasema mbona mwaondoka mapema? wakasema hakutaweza kuvumilia hali ya mke wako.

 
Back
Top Bottom