Na tafuta rafiki

yasri adam

New Member
Dec 11, 2011
2
0
Namtafuta rafiki wa kawaida tu ila mwenye sifa zifuatazo;
1.awe muislamu
2.umri 15-20
3.Elimu kuanzia kidato cha na kuendelea
4.asiwe katika ndoa
5.awe mkarim
 
Namtafuta rafiki wa kawaida tu ila mwenye sifa zifuatazo;
1.awe muislamu
2.umri 15-20
3.Elimu kuanzia kidato cha na kuendelea
4.asiwe katika ndoa
5.awe mkarim

Hapo kwa RED naomba rudia tena...
Unataka KUBAKA? umri huo.. lol..
 
Yaani mie mwenyewe nimechoka na heading kuona tetesi, sijui hajui au haamini
hata maelezo yake anaonekana na yeye ni mtoto tu

Title inasomeka "Tetesi". Kutafuta rafiki nako ni tetesi! Mweh!
 
Rafiki unamchagualia mpaka dini, elimu na marital status ili iweje? Maongezi ya kirafiki yanahusiana vipi na hayo yote unayotaka?

Aaaanh Lizzy ; u aint gon make a good babysitter that way hawa wachukulie taratibu.......usimchape wala...mfinye tu ataelewa
 
Namtafuta rafiki wa kawaida tu ila mwenye sifa zifuatazo;
1.awe muislamu
2.umri 15-20
3.Elimu kuanzia kidato cha na kuendelea
4.asiwe katika ndoa
5.awe mkarim

uko so specific, si rahisi upate 'rafiki' wa ana hiyo, hizi sifa zote ulizotaja wengi tu wanazo, lakini hizi sifa hazifanyi mtu kuwa rafiki, kuna mambo mengi ya kutazama katika kufikia kuwa marafiki, tafuta rafiki kutoka kwa wanaokuzunguka, the one u interact with, hope u'wl find one of the kind u want!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom