Na SISI tumteke NANI?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Tuna watu,viongozi na wengineo,wengi sana tunaowachukia. Wanatuibia,wanatudhulumu,wanatufunga,wanatuonea,wanatunyanyasa,wanatupiga,wanatuua na wanatudharau. Tunawajua kwa sura na majina. Tunavumilia ili kulinda utawala wa sheria. Sasa mambo ni tofauti. Tunataka tutume ujumbe kwa matendo. Tuanze kumteka nani?
 
Subiri kwanza Mkuu, kama kuna haja ya kufanya hivyo, we have to plan and execute it very properly. kulipa baya kwa ubaya kuna gharama kubwa sana.
 
watanzania sio watu wa vurugu japokua viongozi wetu wanatunyanyasa, cha kuumiza ni kua tuna miaka mitatu mpaka uchaguzi, ni mbali mno, ninaamini hata kama ccm ikishinda tena wanaweza kua na mtu ambaye ni better than huyu wa sasa
 
Back
Top Bottom