Na sisi NCCR MAGEUZI tunajianda kuonana na rais Kikwete

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Wana JF.
Sisi wana NCCR MAGEUZI tunajianda kumtumia rais Kikwete, barua rasmi ya kuomba kukutana nae.
Tujadiliane kuhusu rasimu ya katiba yetu.

Hii nchi ni yetu sote sio ya CCM wala Chadema wala Cuf.

Hatuwezi kuwa nyuma kwenye jambo la muhimu kwa taifa letu la amani tuliochiwa na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

NCCR MAGEUZI NDIYO CHAMA MAKINI NCHINI
 
Na sisi tusio na vyama tunafikiria hivyohivyo kumuona maana hii nchi yetu sote.Wote tuliusotea uhuru kutoka kwa Mwingereza.Kwanza hii itakuwa fursa nyingine kwetu kupeleka hoja ya mgombea binafsi!Teh,teh,teh.
 
Jamani hizi habari za nccr kuomba kukutana na jk zina uhakika gani ? Mimi nimewasiliana na mh kafulila usiku huu anasema hawana mpango huo wala hawana imani na dhamira ya jk kuhusu suala zima la katiba. Sijui kama niv msimamo wake au ndo msimamo wa chama maana hiki chama cha nccr siku hizi nasikia vimeshakuwa vyama viwili ndani ya kimoja. Nachojiuliza tu ni kama kweli nccr itakuja na tamko kali dhidi ya mh rais ambaye tayari atakuwa kwenye meza ya amani na cdm tafsiri yake nini kwa wapinzani?
 
choko choko choko choko! mnatuudhi, sisi NCCR-Mageuzi ni chama kimoja!
 
hii thread haijakaa vema ipo kama kejeli fulani vile haina source wala reporter maalumu
 
hii thread haijakaa vema ipo kama kejeli fulani vile haina source wala reporter maalumu
Ukisoma threads zote za Rev Robinson, utajua hakika yeye ni mtu wa kukejelikejeli tu, kwanza hata kujiita kwake Rev Robinson na avatar yake ni kejeli (rejea hadithi inayomzunguka Rev Robinson halisi wa Anglicana), amekuwa akijifanya mkristo huku anakejeli ukristo (mfano; alisema sisi wagalatia tunaomba misaada ulaya), aliikejeli chadema enzi zile anajiita mwanachadema (eti dokta wetu Slaa kiongozi wa kikristo), kutangaza kwake kujiunga na NCCR-Mageuzi nako kulikuwa kikejelikejeli
 
Ukisoma threads zote za Rev Robinson, utajua hakika yeye ni mtu wa kukejelikejeli tu, kwanza hata kujiita kwake Rev Robinson na avatar yake ni kejeli, amekuwa akijifanya mkristo huku anakejeli ukristo (mfano; alisema sisi wagalatia tunaomba misaada ulaya), aliikejeli chadema enzi zile anajiita mwanachadema (eti dokta wetu Slaa kiongozi wa kikristo), kutangaza kwake kujiunga na NCCR-Mageuzi nako kulikuwa kikejelikejeli
Sis Waridi karibu tena,umepotea sana.
 
Wana JF.
Sisi wana NCCR MAGEUZI tunajianda kumtumia rais Kikwete, barua rasmi ya kuomba kukutana nae.
Tujadiliane kuhusu rasimu ya katiba yetu.

Hii nchi ni yetu sote sio ya CCM wala Chadema wala Cuf.

Hatuwezi kuwa nyuma kwenye jambo la muhimu kwa taifa letu la amani tuliochiwa na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

NCCR MAGEUZI NDIYO CHAMA MAKINI NCHINI [/QUOTE]

Hivi mna wabunge wangapi katika chama chenu???
 
Back
Top Bottom