Na Raia Mwema nalo....

kujikweza kuna tafsiri nyingi sijui wewe unatumia ipi hapa!

kwani unalazimishwa kusoma hayo mabandiko?

uzuri wako u mwingi wa lugha ya kuzunguka..! tofauti na chinga mwenye kupoint issue, ingawa yeye ndie kafungiwa

Unaweza kubadili jina ukajiita chinga!

Mgema akisifiwa tembo hulitia.....

Examples please of those mabandiko!

Unaweza kuwa wewe ndio mgema hapa na hao tembo wako bila kujijua mkuu!

Umekwisha kihoja....bora nenda kwenye facebook

Ni lini umetoka huko facebook?

etc
Nilidhani thread inahusu Raia Mwema kumwomba radhi RA.
 
Wakipata wakili mzuri kama Lissu wanaweza kuamua kutoomba msamaha na kuigeuza hii kesi kuwa ya RA badala ya Raia Mwema na ushahidi uko belele na wanaweza kuwaita wajumbe wa kamati hiyo kama mashahidi wa kutetea walichoandika dhidi ya RA. Halafu wakamchokonoa ili tujue ni kipi alichotaka kusema bungeni na kamati ya CCM bungeni ikamkataza kufanya hivyo.
upeo wako mdogo sana unadhani ni rahisi kiasi hicho kubadili kesi ya kutukana mtu.kasome vema makala inayolalamikiwa....mfano amedai ra aliunda serikali yake yenye nguvu nje ya serikali ya jk na ilikuwa na nguvu zaidi ya jk...anaweza kuthibitisha hilo..ulimwengu ana akili akajua hana haja ya malumbano wakati amekosea na alitakiwa alipe fidia ya sh moja na kuomba radhi.
 
Kwa ambalo mmelikosa gazeti la Raia Mwema toka jana... nimeweka habari zake za kwanza kwenye Klhnews... natumaini watatua matatizo yao very soon...
 
Kwa ambalo mmelikosa gazeti la Raia Mwema toka jana... nimeweka habari zake za kwanza kwenye Klhnews... natumaini watatua matatizo yao very soon...

Asante Mkuu, magazeti ya bongo yamekuwa shida sana, sijui kuna mkono wa mtu. Mimi bado sipati Mwananchi, Mwanahalisi, RaiaMwema hata Tanzania Daima ya Jumatano 4 Mei sikulipata. Bila shaka kuna challenge wanayotakiwa kuishida.
 
Back
Top Bottom