Na Raia Mwema nalo....

mbona umetoa mfano wa wakili lissu,ina maana yeye ndio mkali zaidi?ebu tupe cv zake na kesi ambazo aliwahi kuwatetea wateja wake na wakashinda
 
Naam Raia Mwema wamemuomba samahani RA ingawaje kwenye gazeti lao linalopatikana online hawakuiweka article hiyo.
 
Jinsi ya kuchangia mada mbalimbali hapa ukumbuni.. Kuna wakati members wa JF wanakuwa too much know ilhali hawajui lolote

Am I missing something here? Do you have any evidence to support your arguments that 'they know nothing'?
 
Am I missing something here? Do you have any evidence to support your arguments that 'they know nothing'?
Mabandiko mengi yanachangiwa kutokana na upenzi,ushabiki na uanachama wa vyama mbalimbali, bila kuangalia kwa kina tatizo lipo wapi na sheria inasema nini juu ya tatizo hilo.
 
Mabandiko mengi yanachangiwa kutokana na upenzi,ushabiki na uanachama wa vyama mbalimbali, bila kuangalia kwa kina tatizo lipo wapi na sheria inasema nini juu ya tatizo hilo.

Examples please of those mabandiko!
 
Hoja zijibiwe kwa hoja bila kuangalia mtoa hoja ni nani!
Naona thread inayoharibika sio hii pekee.....
 
Back
Top Bottom