Na mim natafuta mukazi wange SERIOUS….

Mamitonakuheshm sana plz jamaa moyo wake umedongokea kwangu wengine wa nn
Hahaha all the best watu mmeamua ..
lakini wewe Akili Kichwani mbona wadada zaidi ya watatu au wanne wanatafuta partiners hapa JF na post zipo tayari kwa nini usingeanzia hapo?
 
Jamani niko serious, nasaka mchumba………..naona upweke sasa unataka kunitoa roho………………
Sifa
1. Awe mwanamke (sihitaji ma-BWABWA)
2. Awe tayari kwa ndoa ya kikristo (asahau kabisa mambo ya beijing)
3. Umri – wa serikali na kuendelea
4. Kiburi na suala zima la tabia kwangu sio issue, nina uhakika nitaweza kmdhibiti na asifurukute
5. Elimu-yoyote (ili mradi awe trainable, nitamu-upgrade hadi anapoweza kufika)
6. Kazi -si kigezo, mi ni mwanume halisi, (sio wale anaoimba jDee kuwa kama mabinti)


Mtoto mzuri pearl and other JF singles are highly encouraged to apply

Matokeo ya zoezi hili yatatolewa baada ya mashauriano na mchumba mteule………………… (kama hatakuwa tayari kutangazwa, basi tutauchuna)…………….

Maombi yote yatumwe kwa private messege (PM) tu……………
Hehehehehe.hapa hakuna kitu.stuka Pearl.
 
Hahaha all the best watu mmeamua ..
lakini wewe Akili Kichwani mbona wadada zaidi ya watatu au wanne wanatafuta partiners hapa JF na post zipo tayari kwa nini usingeanzia hapo?

mengine madume mama...............tayari nimeishawascreen wote............... after all .................. niko na pearl till death do us part............................
 
eeeeh mbn fitna nyingi sana?jamani yani nimeshakuwa mchuna ng'ozi?SWTY HAWAJUI TULIPOTOKA ACHANA NA MANENO YAO
Huyo Pearl mwenyewe amekaa kichunaji mno asipo angalia AK atachunwa mpaka akome.
 
eeeeh mbn fitna nyingi sana?jamani yani nimeshakuwa mchuna ng'ozi?SWTY HAWAJUI TULIPOTOKA ACHANA NA MANENO YAO

we jifanyi kama huwaoni...................... ie sirudi nyuma.................. usisahau till death do us part.............. eeeh, sawa????????????//// halafu baelezeeeee........
 
Back
Top Bottom