Na mim natafuta mukazi wange SERIOUS….

chichemi wala chiongei...................

sasa shem ndo ulinifanyaje unana mpaka nimemliza sweet wangu..................

CONGRATULATIONS to you both, have a fun life.

Hii ni BEIJING au masikio yangu mabovu?:rolleyes:

jamani mmeanza.!!!!!!!!!!!!!!!!! mara hii................. haya tunashukuru kwa congs zako lakini hayo ya bejng............. sema polepole asisiskie my sweet heart..........

heheeeeeee am speechlesss leo!!!

leo lazima tukusemeleee............... uchinune wala uchicheke..............
 
my dear pearl................. uchicheme ivo sweet utanitoa machozi................ lol udenda ushaanza kutoka..................... unajua dear............ ah............ twin wako ndo alinambia najihangaisha tu............... we mwenyewe wala.............. huna mpango na mimi................. thatha niPM bath tufunge kabitha na hizi aplikesheni............. very sory sweet heart........... nichamee mukazi wange to be................ luv you sanaaaaaaaaaaaaaaaa.................. ah............ i want to cry...........usinizibe mdomo............... usinizibe mdomooooooooooooo.................
I knew it.haukuwa siriaza kabisaaaaaaaaaa.Nilikuwa nataka nikuunganishe na mdogo wangu kumbe na wewe Fisadi wa mapenzi.Unamfisadi Pearl lol!
 
Mkulu utafua makufuli yake? thats a quick test.......:D

mkuu hayo mambo ya ndani............... tunajuana wenyewe................punguzeni jamani.................... tumetoka kuwashushua sasa hivi......... mmerudi tena!!!!!!!!!.
 
I knew it.haukuwa siriaza kabisaaaaaaaaaa.Nilikuwa nataka nikuunganishe na mdogo wangu kumbe na wewe Fisadi wa mapenzi.Unamfisadi Pearl lol!

jamani tushayamalizaa....................... mnayachochea tena ya nini? lol...............

huyo mdogo wako tumia PM pearl asione.....................
 
wala hanifisadi naomba utuache mwambie mdogo wako kalamba dume,ila unatusema sana but najua mfa maji haachi kutapa

Love is blind eeeh? shaurilo Pearl.Usije anza kutuletea thread za kuomba ushauri hapa.Mdogo wangu hampati kwani ham-deserve kabisaaa.
 
tell them swty,am picking your kols,I have your password wat more do they want?
jamani tushayamalizaa....................... mnayachochea tena ya nini? lol...............

huyo mdogo wako tumia PM pearl asione.....................
 
Mpenzi Akili Kichwani bado uko available mpaka sasa maana nimechelewa kidogo kuiona hii post yako (biashara za kubeba mabox zinanifanya nipitwe na habari njema za jukwaani hapa)
 
Mpenzi Akili Kichwani bado uko available mpaka sasa maana nimechelewa kidogo kuiona hii post yako (biashara za kubeba mabox zinanifanya nipitwe na habari njema za jukwaani hapa)

Lakini hujachelewa milango ipo wazi unaweza ukatuma maombi tu yeye anacho kifanya ni kukagua maombi yenu
 
Mpenzi Akili Kichwani bado uko available mpaka sasa maana nimechelewa kidogo kuiona hii post yako (biashara za kubeba mabox zinanifanya nipitwe na habari njema za jukwaani hapa)

kweli dear umechelewa, tena afadhali umechelewa................. niko na pearl........... ni shetan tu aliyenipitia nikatangaza kuwa niko available................... kwa sasa tumetaitiana na pearl...........hatumezi wala hatutemi...................

pole na mabox.................................
 
Hahaha all the best watu mmeamua ..
lakini wewe Akili Kichwani mbona wadada zaidi ya watatu au wanne wanatafuta partiners hapa JF na post zipo tayari kwa nini usingeanzia hapo?
 
umechelewa mama alipitiwa kidogo bana mbn tuko long time tuligombana kidogo,AM SORRY
Mpenzi Akili Kichwani bado uko available mpaka sasa maana nimechelewa kidogo kuiona hii post yako (biashara za kubeba mabox zinanifanya nipitwe na habari njema za jukwaani hapa)
 
Back
Top Bottom